Ukurasa wa Pili
Je, Tisho la Nyuklia Limekwisha? 3-11
Vita Baridi ilipokwisha, watu wengi walishangilia kwamba mwanadamu sasa hakutishwa tena na vita ya nyuklia. Hata hivyo, mfululizo wa makala haya wachunguza baadhi ya sababu zinazofanya tisho la nyuklia liwe kubwa zaidi ya wanavyofikiri wengi.
Kituo cha Angani cha Kimataifa—Maabara Inayozunguka 15
Soma simulizi lenye kuvutia juu ya mradi unaoendelea wa kujenga kituo hicho cha angani huku kikizunguka dunia.
Kumtumikia Mungu Licha ya Kukabiliwa na Kifo 18
Kwa miaka mingi alivumilia mnyanyaso, kutiwa gerezani na kwenye kambi za kazi ngumu. Soma simulizi hili lenye kutokeza la mtu fulani kutoka Afrika.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mlipuko kwenye jalada: UNITED NATIONS/PHOTO BY SYGMA
NASA photo