Ukurasa wa Pili
Kufumbua Fumbo la Chembe Zako za Urithi 3-10
Mnamo 1953, wanasayansi waligundua msimbo wa chembe za urithi. Tangu wakati huo mambo mengi yamefunuliwa. Uhai ulianzaje?
Ni Nini Kinachohusika ili Ziendelee Kusafiri Angani? 11
Mashirika ya ndege hutunzaje ndege zake? Huchunguzwa mara nyingi kadiri gani? Je, unaweza kuwa na uhakika unaposafiri kwa ndege?
Pantanal—Hifadhi Yenye Kuvutia Sana 15
Shughuli za binadamu zinatisha Pantanal ambayo ni makao ya anakonda na aligeta.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Courtesy of United Airlines
Georges El Sayegh