Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g99 9/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1999
  • Vichwa vidogo
  • Vita—Je, Vitawahi Kukoma? 3-9
  • Naweza Kuvumiliaje Ukosefu wa Haki? 10
  • “Binti Yenu Ana Ugonjwawa Kisukari!” 20
Amkeni!—1999
g99 9/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Vita—Je, Vitawahi Kukoma? 3-9

Historia ya karne ya 20 inaonyesha kwamba wanadamu wamekuwa stadi katika kupigana vita. Lakini, Biblia inaahidi kwamba karibuni kutakuwa na amani ulimwenguni pote. Amani hiyo itapatikanaje?

Naweza Kuvumiliaje Ukosefu wa Haki? 10

Ni jambo la kawaida tu kuhisi maumivu na hasira unapotendewa vibaya. Unaweza kupata wapi msaada?

“Binti Yenu Ana Ugonjwawa Kisukari!” 20

Soma jinsi ambavyo Sonya mwenye umri wa miaka kumi na familia yake wamekabiliana na maradhi hayo.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

JALADA: Jeti: USAF photo; Manowari ya kuchukulia ndege: U.S. Navy photo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki