Ukurasa wa Pili
Ukweli Ni Nini Kuhusu Malaika? 3-10
Malaika wamekuja kupendwa sana katika nchi fulani. Wao hutajwa sana katika filamu, vipindi vya televisheni, nyimbo, na vitabuni. Je, masimulizi kuhusu malaika yaweza kutumainiwa? Je, ni jambo linalopasa kuchunguzwa?
Naweza Kuwaje Mwenye Urafiki Zaidi? 11
Je, wewe huelekea kuwa mwenye haya? Fikiria madokezo kadhaa yanayoweza kukusaidia kupambana na haya.
Kuzuru Tena Sayari Nyekundu 14
Vyombo viwili vya kukusanya habari vimepelekwa kwa sayari nyekundu iliyo jirani yetu. Vinachunguza nini?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
NASA/JPL/Caltech