Faharisi ya Buku la 80 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
Afya na Usalama wa Ulaya, 12/8
Afya ya Akili, 2/8, 7/8
“Binti Yenu Ana Ugonjwa wa Kisukari!” 9/22
Damu Iliyoambukizwa, 6/22
Ewe Mpenda-Jua—Linda Ngozi Yako! 7/8
Imeboreka Tufeni Pote—Lakini Si kwa Wote, 9/22
Jikinge na Vimelea! 5/22
Kinga Dhidi ya Kifua Kikuu, 5/22
Kuishi Muda Mrefu, Ukiwa na Afya Bora, 7/22
Maradhi ya Alzheimer, 9/22
Maradhi ya Cystic Fibrosis, 10/22
Maradhi ya Utumbo Mwembamba, 3/22
Matibabu Bila Damu, 3/8
Mazingira—Jinsi Yanavyoathiri Afya, 6/22
Matatizo ya Kula, 1/22
Misuli, 4/8
Mkutano Kuhusu Upasuaji Bila Damu (Moscow), 4/22
Msiba wa Tufeni Pote (vifo vinavyosababishwa na ujauzito), 5/8
Mtindo wa Maisha Unakuua? 7/8
Mtoto Alaleje? 3/22
Ni Lazima Kutiwa Damu Mishipani? 8/22
Tulijifunza Kumtegemea Mungu (mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati), 11/22
Tumaini kwa Walemavu (kupoteza viungo), 6/8
Watoto na Aksidenti, 10/8
DINI
Kuizungumzia Dini, 2/22
Kushuka kwa Dini Uingereza, 8/8
Maisha Yako Yameamuliwa Kimbele? 8/8
Mungu Yuko? 2/8
Uhuru Watishwa, 1/8
Wafanya-Amani au Wachochea-Vita? 3/8
Wazaliwa wa Amerika na Biblia, 5/8
Wimbo Asioweza Kuusahau (jina la Yehova), 12/22
MABARA NA WATU
Alama Usoni—‘Kitambulisho cha Nigeria,’ 1/8
Chini ya Ardhi ya Paris, 12/8
Ghuba ya Dragoni Ateremkaye (Vietnamu), 5/22
Kahawa, Chai, au Guarana? (Brazili), 6/8
Kuruka Ukanda Mkuu wa Denmark, 2/8
Mawe ya Mviringo na ya Ajabu ya Kosta Rika, 3/8
Mlima Sinai—Kito Kilicho Nyikani, 4/22
Mto Danube—Laiti Ungeweza Kuzungumza! 10/22
Mvua Ikosapo Kunyesha (Brazili), 9/22
Nchi ya Kihekaya ya Vinland, 7/8
Pantanal Hifadhi Yenye Kuvutia Sana (Brazili), 9/8
Rio de Jeneiro (Brazili), 3/8
Sarafu ya Afrika (sarafu ya Wakissi), 3/22
Siagi ya Njugu—Mtindo wa Kiafrika, 8/22
Soko la Oktoba (soko la farasi la Ireland), 3/22
Surströmming—Mlo Mtamu Wenye Uvundo (Sweden), 7/8
Sydney (Australia), 7/8
Waaltai (Urusi), 6/22
Waazteki, 5/8
Wakati Uliopita Wenye Kuchukiza wa Utumwa (Senegal), 2/22
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Babu na Nyanya, 3/22
Barua kwa Wazazi Wao (Hispania), 3/8
Kuchagua Mwenzi wa Ndoa, 10/8
Mwenzi Anapokosa Uaminifu, 4/22
Onyesha Kwamba Unajali (wazee-wazee), 4/8
Wakati Uliopita Wenye Kuchukiza wa Utumwa, 2/22
MAMBO MENGINE
Comenius—Mwanzilishi wa Elimu ya Kisasa, 5/8
Hifadhi Nishati, 11/8
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Kahawa, 10/8
Kusafiri kwa Ndege, 3/8
Kutoka Kuwa Jiwe Hadi Kuwa Kito (almasi), 4/8
Malaika, 11/22
Mavazi Tunayovalia, 2/8
Mchirizi wa Maziwa, Kijiko cha Maziwa, 7/22
Minara ya Taa, 1/22
Muziki, 10/8
“Naomba Tortilla,” 12/8
Ngazi—Ukaguzi wa Usalama, 8/8
Mizingile, 12/22
Nyumba Yako Ni Salama? 11/22
Ofisi Isiyotumia Karatasi, 6/8
Radi, 4/8
Safari ya Baharini ya Vasco da Gama, 3/22
Ushinde Wenye Kuhuzunisha wa Shasta, 4/8
Ushirikina, 10/22
Vita ya Plataea, 8/8
Watangulizi wa Mapema wa Vyombo vya Anga, 11/8
Ziendelee Kusafiri Angani (ndege), 9/8
Zumaridi, 2/22
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Dawa za Kulevya, 11/8
Haki Bila Madaraka? (UM), 1/8
Karne ya 20—Miaka Muhimu ya Badiliko, 12/8
Kuajiriwa kwa Watoto, 5/22
Mediterania—Bahari Inayozingirwa, Isiyo na Ulinzi, 1/8
Mipango ya UM Kuwasaidia Vijana, 1/8
Mwisho wa Uharibifu (asili), 10/8
‘Si Kila Mtu Anayenufaika’ (ufanisi), 7/22
Tisho la Nyuklia, 8/22
Utekaji-Nyara—Tisho la Tufeni Pote, 12/22
Vita Vitawahi Kukoma? 9/22
Watoto Mashakani, 4/8
MAONI YA BIBLIA
Je, Ni Kosa Kutamka Jina la Mungu? 3/8
Je, Wafu Waheshimiwe? 2/8
Kuchagua Mwenzi wa Ndoa, 10/8
Kukopesha na Kukopa, 4/8
Misa (Katoliki), 5/8
Mtu Awezaje Kuwa Raia Mwema? 9/8
Muungano wa Kidini Katika Ndoa, 8/8
Ni Nini Husababisha Uchawi? 11/8
Ni Wafalme Watatu Waliomzuru Yesu Bethlehemu? 12/8
Ni Vibaya Kuwa na Kiburi? 7/8
Roho Takatifu ya Mungu Ni Nini? 1/8
Una Thamani Machoni pa Mungu! 6/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Aimarishwa na Imani Yake, 10/22
Amkeni! Lachochea Bango la Kupinga Uvutaji wa Sigareti, 7/8
Baada ya Dhoruba (Msumbiji), 3/8
Barua kwa Wazazi Wao (Hispania), 3/8
‘Hunufaishaje Jumuiya?’ 6/8
Kuokolewa Kutoka Kwenye Dhoruba Yenye Kufisha (Kimbunga Mitch), 6/8
Mbegu Zilizozaa Matunda Miaka Mingi Baadaye, 7/8
Mkutano Kuhusu Upasuaji Bila Damu (Moscow), 4/22
Mungu Amekuwa Msaidiaji Wetu (Msumbiji), 6/22
Mvua Ikosapo Kunyesha (Brazili), 9/22
Waaltai (Urusi), 6/22
Walisimama Imara Wakati wa Utawala wa Nazi (Uholanzi), 6/22
Wameazimia Wasikate Tamaa, 8/22
Wanawake Walichangia Sana (Zimbabwe), 6/22
Wimbo Asioweza Kusahau (V. Rose), 12/22
MASIMULIZI YA MAISHA
Kulea Wana Saba (B. & M. Dickman), 1/8
Kulea Watoto Katika Afrika (C. McLuckie), 10/22
Kumtumikia Mungu Licha ya Kukabiliwa na Kifo (J. Mancoca), 8/22
Kutoka Maisha ya Uhalifu Hadi Maisha Yenye Tumaini (C. Koullapis), 12/8
Mambo Halisi Yamezidi Mataraja (W. van Seijl), 10/8
Mungu Amekuwa Msaidiaji Wetu (F. Coana), 6/22
Mwenye Furaha na Mwenye Kutumika Nijapokuwa Kipofu (P. Venetsianos), 2/8
Namshukuru Yehova kwa Ajili ya Wana Wangu Watano (H. Saulsbery), 3/22
Nusu Karne Chini ya Utawala wa Kiimla (L. Toom), 2/22
Simba Angurumaye Awa Kondoo Mpole (E. Torres), 8/8
Tumaini Limenitegemeza Kuvumilia Majaribu (M. Ogawa), 12/22
Twapelekwa Uhamishoni Siberia! (V. Kalin), 4/22
SAYANSI
Chembe, 9/8
Kituo cha Angani cha Kimataifa, 8/22
Kuzuru Tena Sayari Nyekundu (Mihiri), 11/22
Mfumo wa Vikao wa Tufeni, 11/22
Misuli, 4/8
Mwaka wa 2000—Je, Kompyuta Zitavurugika? 2/8
Nyuma ya Sayari, 7/22
Sayari Ndogo, Nyotamkia, Dunia—Je, Zitagongana? 1/22
Ubongo, 5/8
Ulimwengu Uliumbwa kwa Kusudi Fulani? 6/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Biashara ya Tufeni Pote, 9/8
Euro—Fedha Mpya, 5/8
VIJANA HUULIZA
Kadi za Mkopo, 12/22
Kwa Nini Kuhangaikia Sana Uzito? 4/22
Kwa Nini Mama Ni Mgonjwa Sana? 7/22
Kwa Nini Sipati Vitu Ninavyotaka? 3/22
Kudhihakiwa, 6/22
Kuhangaikia Sana Uzito, 5/22
Kuvumilia Ukosefu wa Haki, 9/22
Kuwa Mwenye Urafiki, 10/22, 11/22
Michezo Inayokufanya Uwe Mhusika Mkuu, 8/22
Porojo, 2/22
Uchumba wa Mbali, 1/22
WANYAMA NA MIMEA
Bustani ya Pekee, 11/8
Je, Unautambua Wimbo Huo? (ndege), 9/8
Kokwa ya Tagua, 11/8
Kuruka kwa Kasi (ndege), 10/8
Mabingwa wa Kuruka (nzi), 11/22
Mchikichi, 2/22
Mamba wa Maji ya Chumvi, 5/22
Mbuni, 7/22
Mbwa Wangu Husikiliza kwa Niaba Yangu! 7/22
Miwani Yenye Lenzi Mbili (samaki), 4/22
Mkubwa Zaidi na Mdogo Zaidi (vipepeo), 9/8
Mimea Dhidi ya Uchafuzi, 1/22
Mti Ambao Huimba, 3/8
Ndege Ambaye Hubusu Maua (ndege mvumaji), 8/8
Parachichi, 12/22
Samaki Anayetembea (kirukatope), 5/22
Samaki Hodari Watamu (tuna), 9/22
Simba, 1/22
Ua la Mtangoharara, 7/8
Viuavisumbufu, 2/22
Waimbaji Wawili Wenye Muziki Mtamu (ndege), 12/8
“Wolfhound” wa Ireland, 11/8