Ukurasa wa Pili
Walimu Ni Muhimu Sana 3-13
Yaelekea kuna walimu wengi kuliko waajiriwa wa kazi nyingine yoyote ile. Tunapaswa kuwathamini kwa kile ambacho wametufanyia. Lakini, walimu hukabili magumu na hatari zipi, nao wanapata shangwe gani katika kazi yao?
Kuambatana na Upepo 14
Mtu huhisije anaposafiri kwa puto la hewa yenye joto? Puto huendeshwa namna gani? Nalo hutua vipi?
Kuendesha Baiskeli Hufurahisha na Huboresha Afya 18
Mamilioni ya watu huendesha baiskeli kila siku kwenda kazini na ili kujifurahisha. Ni baiskeli ya aina gani ambayo ingekufaa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 3]
COVER: Map used with permission, © RMC, www.randmcnally.com