Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 8/06 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2006
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Umajimaji Gani Ulio na Thamani Kubwa Zaidi?
    Amkeni!—2006
  • Mashahidi wa Yehova na Suala la Damu
    Mashahidi wa Yehova na Suala la Damu
  • Kuokoa Uhai kwa Damu—Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Damu—Ni Muhimu kwa Uhai
    Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2006
g 8/06 kur. 1-2

Yaliyomo

Agosti 2006

Damu​—Kwa Nini Ina Thamani Kubwa Sana?

Huenda daktari akasema kwamba damu ina thamani kubwa kwa sababu inatumiwa katika matibabu. Lakini, kwa nini madaktari wengi leo husita kuwatia watu damu mishipani? Ni nini hasa kinachoifanya damu iwe na thamani kubwa sana?

3 Ni Umajimaji Gani Ulio na Thamani Kubwa Zaidi?

5 Kutia Damu Mishipani​—Je, Kutaendelea?

10 Thamani Halisi ya Damu

13 Mashua ya Galilaya​—Hazina ya Nyakati za Biblia

16 Vitwitwi Ndege Wanaotangatanga Kote Ulimwenguni

19 Kuutazama Ulimwengu

20 ‘Nitapanda Juu Kama Vile Paa Anavyofanya’

26 Imani ya Mtoto

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Ungejibuje?

32 “Ni Kizuri Sana!”

Naweza Kuwasaidiaje Wenye Uhitaji? 23

Leo vijana wengi hufanya kazi za kujitolea. Ni nini huwachochea? Ni njia gani iliyo bora zaidi ya kuwasaidia watu?

Je, Wanadamu Huwa Malaika Wanapokufa? 28

Watu wengi wana maoni hayo, lakini Biblia inafundisha nini kuhusu jambo hilo?

[Picha katika ukurasa wa 2]

Picha ya damu iliyopigwa kwa kutumia hadubini. Kwa habari zaidi ona ukurasa wa 8

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Copyright Dennis Kunkel Microscopy, Inc.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki