Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 10/06 kur. 27-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2006
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • WATAMBULISHE VIUMBE HAWA WA KIROHO
  • ILITUKIA LINI?
  • MIMI NI NANI?
  • MIMI NI NANI?
  • KUTOKA KATIKA TOLEO HILI
  • Watoto Watafute Picha
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2007
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2006
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2006
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2007
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2006
g 10/06 kur. 27-31

Ungejibuje?

WATAMBULISHE VIUMBE HAWA WA KIROHO

Chora mstari kuunganisha aina ya malaika na picha inayohusiana naye kisha ujibu swali.

Malaika Mkuu

Malaika mkuu anaitwa nani?

Makerubi

Makerubi walilinda nini Edeni?

Maserafi

Isaya alisikia maserafi wakisema nini?

Malaika

Kuna angalau malaika wangapi?

1. ․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․

2. ․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․

3. ․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․

4. ․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․․

◼ Zungumzeni Pamoja: Kujua familia ya kimbingu ya Yehova kumekusaidiaje uwe jasiri zaidi?—2 Wafalme 6:15-17.

ILITUKIA LINI?

Chora mstari kuunganisha kila tukio na mwaka lilipotukia.

1761 K.W.K. Karibu 538 K.W.K. 33 W.K.

1728 K.W.K. Karibu 455 K.W.K. 44 W.K.

5. Matendo 12:5-11

6. Mwanzo 32:22-30

7. Danieli 6:22

MIMI NI NANI?

8. Nilipuuza maonyo ya malaika na malalamiko ya punda.

MIMI NI NANI?

9. Nilipeleka ujumbe kwa Danieli, Zekaria na kwa mama ya Imanueli.

KUTOKA KATIKA TOLEO HILI

Jibu maswali haya na ujaze mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

Ukurasa 4 Kuangalia televisheni kunafananaje na kula asali? (Methali 25:____)

Ukurasa 7 Kwa nini tunapaswa kuwa waangalifu kuhusu yale tunayotazama kwenye televisheni? (Methali 13:____)

Ukurasa 11 Mtu anapokufa mawazo yake hupatwa na nini? (Zaburi 146:____)

Ukurasa 21 Yehova anawaonaje vijana wenye matatizo ya kula? (Zaburi 22:____)

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

(Majibu kwenye ukurasa wa 27)

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Makerubi. “Njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.”—Mwanzo 3:24.

2. Malaika Mkuu. Mikaeli.—Yuda 9.

3. Malaika. Mamilioni mengi.—Danieli 7:10.

4. Maserafi. “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni Yehova.”—Isaya 6:3, 6, 7.

5. 44 W.K.

6. 1761 K.W.K.

7. Karibu 538 K.W.K.

8. Balaamu.

9. Gabrieli.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 31]

Middle circle: ©Alan Copson/Agency Jon Arnold Images/age fotostock

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki