Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • le kur. 16-17
  • Namna Sisi Tunaokolewa Katika Dhambi na Kifo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Namna Sisi Tunaokolewa Katika Dhambi na Kifo
  • Furahia Milele Maisha Duniani!
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Huokoa—Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Kwa Nini Yesu Aliteseka na Kufa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
  • Kifo cha Yesu Kina Maana Gani Kwetu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Kwa Nini Yesu Alikufa?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Furahia Milele Maisha Duniani!
le kur. 16-17

Namna Sisi Tunaokolewa Katika Dhambi na Kifo

35 Wewe unakumbuka kwamba Adamu, yule mtu wa kwanza, alifanya dhambi? Alipoteza uzima na paradiso, na sisi sote tunakufa pia, kwa sababu sisi ni watoto wake.—Warumi 5:12; 3:23

36 Tungeweza kupata tena uzima huo mkamilifu, kama mwanadamu mwingine mkamilifu angetoa uhai wake kwa ajili yetu, au atukomboe katika kifo.—1 Wakorintho 15:45; Warumi 5:19, 21

37 Yesu alikuwa Mwana wa Mungu. Alikuwa mwanadamu mkamilifu. Yeye hakufanya dhambi.—Waebrania 5:9; 7:26

38 Alikubali kuuawa na watu ambao hawakupenda Mungu.—Matendo 2:23

Kwa kufanya hivyo yeye alijitoa mwenyewe awe dhabihu kwa ajili yetu.—1 Timotheo 2:6

39 Yesu alizikwa katika pango au kaburi ambalo lilichongwa katika mwamba (jiwe kubwa). Aliendelea kuwa mfu kwa siku tatu. Halafu Mungu akamfufua.—Matendo 2:24

40 Alirudi mbinguni. Sasa yeye anaweza kuomba Mungu asaidie wale wanaotii Mungu.—Waebrania 9:24; 1 Yohana 2:1, 2

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki