Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb kur. 12-13
  • Utangulizi wa Sehemu ya Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya Pili
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Je! Wema Utapata Kuushinda Uovu Wakati Wowote?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Jinsi Wema Utakavyoshinda Uovu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Gharika Kubwa​—Nani Alimsikiliza Mungu? Nani Hakumsikiliza?
    Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Onyo la Wakati Uliopita
    Wewe Unaweza Kuwa Rafiki ya Mungu!
Pata Habari Zaidi
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb kur. 12-13
Noa akiingiza wanyama kwenye safina

Utangulizi wa Sehemu ya Pili 2

Kwa nini Yehova alileta gharika na kuharibu ulimwengu wa wakati huo? Mwanzoni mwa historia ya wanadamu, kulitokea ushindani kati ya wema na uovu. Baadhi ya watu, kama vile Adamu, Hawa, na mtoto wao Kaini, walichagua kufanya mambo mabaya. Watu wachache kama vile Abeli na Noa, walichagua kufanya mema. Watu wengi walikuwa wabaya sana hivi kwamba Yehova aliamua kuleta mwisho wa ulimwengu huo mwovu. Sehemu hii itatusaidia kujifunza jinsi Yehova anavyohisi kuhusu maamuzi tunayofanya na kwamba hataruhusu kamwe uovu ushinde wema.

MAMBO MAKUU

  • Tunapaswa kuwa wenye kufanya amani, tusiwe wenye jeuri kama Ibilisi na wafuasi wake

  • Tukimsikiliza Mungu na kumtii kama Noa alivyofanya, tutaishi milele tukiwa na furaha

  • Yehova huona mambo yote yanayotendeka. Mambo mazuri hufurahisha moyo wake lakini mambo mabaya humhuzunisha

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki