Jumapili
“Pata furaha tele katika Yehova, Naye atatosheleza tamaa za moyo wako”—Zaburi 37:4
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 22 na Sala
3:40 MFULULIZO: Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya . . .
• Dhiki (Waroma 5:3-5; 8:35, 37)
• Taabu (2 Wakorintho 4:8; 7:5)
• Mateso (Mathayo 5:11, 12)
• Njaa (Wafilipi 4:11-13)
• Kuwa Uchi (1 Wakorintho 4:11, 16)
• Hatari (2 Wakorintho 1:8-11)
• Upanga (2 Timotheo 4:6-8)
5:10 Wimbo Na. 9 na Matangazo
5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Furahia Utajiri Bila Maumivu—Jinsi Gani? (Methali 10:22; 1 Timotheo 6:9, 10; Ufunuo 21:3-5)
5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
6:20 Wimbo Na. 84 na Mapumziko
ALASIRI
7:40 Video ya Muziki
7:50 Wimbo Na. 62
7:55 DRAMA YA BIBLIA: Nehemia: “Shangwe ya Yehova Ndiyo Ngome Yenu”—Sehemu ya II (Nehemia 8:1–13:30; Malaki 1:6–3:18)
8:40 Wimbo Na. 71 na Matangazo
8:50 “Pata Furaha Tele Katika Yehova”! (Zaburi 16:8, 9, 11; 37:4)
9:50 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho