Jumamosi
“Jivunieni jina lake takatifu. Mioyo ya wale wanaomtafuta Yehova na ishangilie”—Zaburi 105:3
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 53 na Sala
3:40 MFULULIZO: Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako
• Kuuliza Maswali (Yakobo 1:19)
• Waonyeshe Nguvu za Neno la Mungu (Waebrania 4:12)
• Kutumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu (Mathayo 13:34, 35)
• Kufundisha kwa Shauku (Waroma 12:11)
• Onyesha Hisia-Mwenzi (1 Wathesalonike 2:7, 8)
• Kugusa Moyo (Methali 3:1)
4:50 Wimbo Na. 58 na Matangazo
5:00 MFULULIZO: Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi —Kubali Msaada wa Yehova
• Vifaa vya Utafiti (1 Wakorintho 3:9; 2 Timotheo 3:16, 17)
• Ndugu Zetu (Waroma 16:3, 4; 1 Petro 5:9)
• Sala (Zaburi 127:1)
5:45 UBATIZO: Jinsi Ubatizo Wako Unavyoongoza Kwenye Furaha Zaidi (Methali 11:24; Ufunuo 4:11)
6:15 Wimbo Na. 79 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 76
7:50 Jinsi Ndugu Zetu Wanavyopata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi Huko . . .
• Afrika
• Asia
• Ulaya
• Amerika Kaskazini
• Oceania
• Amerika Kusini
8:35 MFULULIZO: Wasaidie Wanafunzi Wako wa Biblia . . .
• Kujilisha Kiroho (Mathayo 5:3; Yohana 13:17)
• Kuhudhuria Mikutano (Zaburi 65:4)
• Kuepuka Kushirikiana na Watu Wabaya (Methali 13:20)
• Kushinda Mazoea Machafu (Waefeso 4:22-24)
• Kusitawisha Uhusiano wa Kibinafsi Pamoja na Yehova (1 Yohana 4:8, 19)
9:30 Wimbo Na. 110 na Matangazo
9:40 DRAMA YA BIBLIA: Nehemia: “Shangwe ya Yehova Ndiyo Ngome Yenu”—Sehemu ya I (Nehemia 1:1–6:19)
10:15 Kufanya Wanafunzi Sasa Kunatutayarisha Kufanya Wanafunzi Katika Ulimwengu Mpya (Isaya 11:9; Matendo 24:15)
10:50 Wimbo Na. 140 na Sala ya Mwisho