Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm20 kur. 2-3
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
  • Habari Zinazolingana
  • Ufanye Moyo wa Yehova Ushangilie!
    Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2021-2021—Lililo na Mwangalizi wa Mzunguko
  • “Furahini kwa Sababu ya Yehova”
    Programu ya Kusanyiko la Mzunguko la 2020-2021—Lililo na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
CO-pgm20 kur. 2-3
Picha: 1. Kuhani Ezra. 2. Ua. 3. Mashahidi wa Yehova wawili wanaotoka kwenye mataifa tofauti wakihubiri pamoja. Wanatabasamu wakisalimiana. 4. Wenzi wa ndoa wenye umri mkubwa wameshikana mikono wakitabasamu.

Ijumaa

“Shangilieni sikuzote katika Bwana. Nitasema tena, Shangilieni!”​—Wafilipi 4:4

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 111 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Kwa Nini Yehova Ni “Mungu Mwenye Furaha”? (1 Timotheo 1:11)

  • 4:15 MFULULIZO: Ni Mambo Gani Yanayoleta Shangwe?

    • • Maisha Rahisi (Mhubiri 5:12)

    • • Dhamiri Safi (Zaburi 19:8)

    • • Kazi Inayoridhisha (Mhubiri 4:6; 1 Wakorintho 15:58)

    • • Urafiki wa Kweli (Methali 18:24; 19:4, 6, 7)

  • 5:05 Wimbo Na. 89 na Matangazo

  • 5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: “Yehova Aliwafanya Washangilie” (Ezra 1:1–6:22; Hagai 1:2-11; 2:3-9; Zekaria 1:12-16; 2:7-9; 3:1, 2; 4:6, 7)

  • 5:45 Shangilia Katika Matendo ya Wokovu ya Yehova (Zaburi 9:14; 34:19; 67:1, 2; Isaya 12:2)

  • 6:15 Wimbo Na. 148 na Mapumziko

ALASIRI

  • 7:30 Video ya Muziki

  • 7:40 Wimbo Na. 131

  • 7:45 MFULULIZO: Sitawisha Shangwe Katika Familia Yako

    • • Waume, Iweni na Shangwe kwa Sababu ya Wake Zenu (Methali 5:18, 19; 1 Petro 3:7)

    • • Wake, Iweni na Shangwe kwa Sababu ya Waume Zenu (Methali 14:1)

    • • Wazazi, Iweni na Shangwe kwa Sababu ya Watoto Wenu (Methali 23:24, 25)

    • • Vijana, Iweni na Shangwe kwa Sababu ya Wazazi Wenu (Methali 23:22)

  • 8:50 Wimbo Na. 135 na Matangazo

  • 9:00 MFULULIZO: Uumbaji Unathibitisha Kwamba Yehova Anataka Tuwe na Furaha

    • • Maua Maridadi (Zaburi 111:2; Mathayo 6:28-30)

    • • Chakula Kitamu (Mhubiri 3:12, 13; Mathayo 4:4)

    • • Rangi Maridadi (Zaburi 94:9)

    • • Mwili Wetu Ulioumbwa kwa Njia ya Pekee (Matendo 17:28; Waefeso 4:16)

    • • Sauti Zenye Kupendeza (Methali 20:12; Isaya 30:21)

    • • Wanyama Wenye Kuvutia (Mwanzo 1:26)

  • 10:00 “Wale Wanaositawisha Amani Wana Shangwe”—Kwa Nini? (Methali 12:20; Yakobo 3:13-18; 1 Petro 3:10, 11)

  • 10:20 Urafiki wa Karibu na Yehova Huleta Shangwe Kubwa Zaidi! (Zaburi 25:14; Habakuki 3:17, 18)

  • 10:55 Wimbo Na. 28 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki