Jumamosi
“Kuonyesha uhodari mwingi wa kulisema neno la Mungu bila woga.”—WAFILIPI 1:14
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 76 na Sala
3:40 MFULULIZO: Uwe Jasiri Ukiwa . . .
Mwanafunzi wa Biblia (Matendo 8:35, 36; 13:48)
Kijana (Zaburi 71:5; Methali 2:11)
Mhubiri (1 Wathesalonike 2:2)
Mwenzi wa Ndoa (Waefeso 4:26, 27)
Mzazi (1 Samweli 17:55)
Painia (1 Wafalme 17:6-8, 12, 16)
Mzee wa Kutaniko (Matendo 20:28-30)
Mwenye Umri Mkubwa (Danieli 6:10, 11; 12:13)
4:50 Wimbo Na. 119 na Matangazo
5:00 MFULULIZO: Waige, Si Waoga, Bali Wenye Ujasiri!
Usiige Wale Wakuu Kumi, Iga Yoshua na Kalebu (Hesabu 14:7-9)
Usiige Wakaaji wa Merozi, Iga Yaeli (Waamuzi 5:23)
Usiige Manabii wa Uwongo, Iga Mikaya (1 Wafalme 22:14)
Usiige Uriya, Iga Yeremia (Yeremia 26:21-23)
Usiige Yule Mtawala Tajiri, Iga Paulo (Marko 10:21, 22)
5:45 UBATIZO: “Sisi si Namna ya Watu Wanaorudi Nyuma”! (Waebrania 10:35, 36, 39; 11:30, 32-34, 36; 1 Petro 5:10)
6:15 Wimbo Na. 38 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 111
7:50 MFULULIZO: Jifunze Ujasiri Kutokana na Uumbaji
Simba (Mika 5:8)
Farasi (Ayubu 39:19-25)
Nguchiro (Zaburi 91:3, 13-15)
Ndege Wavumaji (1 Petro 3:15)
Tembo (Methali 17:17)
8:40 Wimbo Na. 60 na Matangazo
8:50 MFULULIZO: Jinsi Ndugu Zetu Wanavyoonyesha Ujasiri . . .
Afrika (Mathayo 10:36-39)
Asia (Zekaria 2:8)
Ulaya (Ufunuo 2:10)
Amerika Kaskazini (Isaya 6:8)
Oceania (Zaburi 94:14, 19)
Amerika Kusini (Zaburi 34:19)
10:15 Uwe Jasiri Lakini Usijitegemee! (Methali 3:5, 6; Isaya 25:9; Yeremia 17:5-10; Yohana 5:19)
10:50 Wimbo Na. 3 na Sala ya Mwisho