Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm18 kur. 2-3
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2018
  • Habari Zinazolingana
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2018
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2018
CO-pgm18 kur. 2-3
oshua asoma Sheria; Daudi amrushia Goliathi jiwe

Ijumaa

“Uwe jasiri na imara kabisa”​—YOSHUA 1:7

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 110 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Yehova—Chanzo cha Ujasiri wa Kweli (Zaburi 28:7; 31:24; 112:7, 8; 2 Timotheo 1:7)

  • 4:10 MFULULIZO: Wakristo wa Kweli Wanahitaji Ujasiri

    • Ili Kuhubiri (Ufunuo 14:6)

    • Ili Kuendelea Kuwa Watakatifu (1 Wakorintho 16:13, 14)

    • Ili Wasiunge Mkono Upande Wowote (Ufunuo 13:16, 17)

  • 5:05 Wimbo Na. 126 na Matangazo

  • 5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: “Uwe Jasiri na Imara na Uanze Kazi”! (1 Mambo ya Nyakati 28:1-20; 1 Samweli 16:1-23; 17:1-51)

  • 5:45 “Hakuna Silaha Yoyote Itakayotokezwa Dhidi Yako Itakayofanikiwa” (Isaya 54:17; Zaburi 118:5-7)

  • 6:15 Wimbo Na. 61 na Mapumziko

hadraki, Meshaki, na Abednego watoka ndani ya moto bila madhara; mtume Paulo akiwa katika kifungo cha nyumbani amwambia Timotheo ujumbe ili aandike

ALASIRI

  • 7:25 Video ya Muziki

  • 7:35 Wimbo Na. 69

  • 7:40 MFULULIZO: Linganisha Hali Zinazodhoofisha Ujasiri na Hali Zinazouimarisha

    • Kukata Tamaa na Tumaini (Zaburi 27:13, 14)

    • Kulalamika na Kutoa Shukrani (Zaburi 27:1-3)

    • Burudani Isiyofaa na Huduma ya Shambani (Zaburi 27:4)

    • Marafiki Wabaya na Marafiki Wazuri (Zaburi 27:5; Methali 13:20)

    • Hekima ya Ulimwengu na Funzo la Kibinafsi (Zaburi 27:11)

    • Shaka na Imani (Zaburi 27:7-10)

  • 9:10 Wimbo Na. 55 na Matangazo

  • 9:20 MFULULIZO: Walikuwa Tayari Kupoteza Nini, Na Walithawabishwaje?

    • Hanania, Mishaeli, na Azaria (Danieli 1:11-13; 3:27-29)

    • Akila na Prisila (Waroma 16:3, 4)

    • Stefano (Matendo 6:11, 12)

  • 9:55 “Jipeni Moyo! Mimi Nimeushinda Ulimwengu” (Yohana 16:33; 1 Petro 2:21, 22)

  • 10:15 Wanajeshi Jasiri wa Kristo (2 Wakorintho 10:4, 5; Waefeso 6:12-18; 2 Timotheo 2:3, 4)

  • 10:50 Wimbo Na. 22 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki