Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • es25 uku. 6
  • Jinsi ya Kutumia Kijitabu Hiki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi ya Kutumia Kijitabu Hiki
  • Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—2025
  • Vichwa vidogo
Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—2025
es25 uku. 6

Jinsi ya Kutumia Kijitabu Hiki

Katika kijitabu hiki, kuna andiko la Biblia la kila siku na maelezo kuhusu andiko hilo. Ingawa andiko pamoja na maelezo yake yanaweza kusomwa wakati wowote ule, wengi hunufaika zaidi kwa kuyasoma asubuhi. Kisha wanaweza kutafakari mambo waliyosoma kwa siku nzima. Mtafaidika sana mkizungumzia andiko mkiwa familia. Familia za Betheli ulimwenguni pote hufanya hivyo wakati wa kiamsha kinywa.

Maelezo yanatoka katika matoleo ya Mnara wa Mlinzi (w) kuanzia Aprili 2023 hadi Machi 2024. Namba inayofuata tarehe ya toleo la Mnara wa Mlinzi inarejelea ukurasa ambao makala hiyo inapatikana. Namba hiyo inafuatwa na namba inayorejelea mafungu yaliyo na habari hiyo. (Ona mfano hapa chini.) Habari za ziada kuhusu jambo linalozungumziwa zinapatikana katika makala yenyewe.

[Picha katika ukurasa wa 6]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki