HADESI
(Ona pia Gehena; Moto wa Mateso)
“funguo za kifo na za Kaburi [Hadesi]” (Ufu 1:18, maelezo ya chini): re 28; wt 83
Kaburi (Hadesi) ‘latupwa ndani ya lile ziwa la moto’ (Ufu 20:14, maelezo ya chini): re 300; wt 86-87
kufufuliwa kutoka katika Hadesi: w08 11/1 9; bh 212-213
maelezo: bh 212-213; bi12 1959
maoni yasiyo sahihi:
paradiso ni makao ya muda katika Hadesi: rs 239-240
neno “Hadesi” katika Maandiko ya Kikristo: bi12 1959
ufafanuzi: rs 154, 156; bi12 1959
mahali pa mfano ambapo watu wengi wanalala usingizi katika kifo: bh 212
uhusiano kati ya kaburi (Hadesi) na abiso: re 288
wapanda-farasi wa Ufunuo sura ya 6 wafuatwa na Kaburi (Hadesi): re 96; w05 5/1 17
Yesu alikuwa katika Hadesi (Mdo 2:25, 27, 31, maelezo ya chini): w08 11/1 9; rs 155