Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Moto wa Mateso

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Moto wa Mateso
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MOTO WA MATESO

(Ona pia Ahera; Gehena; Hadesi; Sheoli [Kaburi]; Toharani [Purgatori]; Ziwa la Moto)

fundisho kuhusu moto halisi wa mateso: g 9/09 10-11; bh 64; rs 156-160; w02 6/1 7; w02 7/15 3-4; w98 10/15 4-5

chanzo: w09 11/1 5; rs 160

dini za kipagani: w08 11/1 6

dini zinazodai kuwa za Kikristo: w09 11/1 5; w08 11/1 3, 6; w00 6/1 6

halipatani na akili: rs 159

halitiliwi maanani tena: w02 7/15 3-4; w98 7/1 8-9

Kanisa Katoliki: w09 11/1 5; g00 3/8 29; w98 10/15 4; g97 2/22 18

Klementi wa Aleksandria: w08 11/1 4

kusababu pamoja na wale wanaoamini kuna moto wa mateso: w12 10/1 12-14; cf 117

lilitumiwa kama udhuru wa kuwateketeza waasi-imani wakiwa hai: w08 11/1 6

limekataliwa na Kanisa la Anglikana: w08 11/1 6; w98 10/15 4; w97 2/15 32; g97 1/22 28-29

matokeo: jv 128-129

Uhindu: w99 4/1 14; ie 17

Waesene: w08 11/1 6

Wapuriti: g 2/06 12-13

katika tafsiri mbalimbali za Biblia: rs 156

maandiko ambayo yamefafanuliwa isivyofaa:

Mathayo 25:46: w08 11/1 5, 7; rs 156

Marko 9:47, 48: w08 6/15 27; w08 11/1 5

Luka 16:22, 23: rs 159-160

2 Wathesalonike 1:9: rs 157

Yuda 7: rs 157

Ufunuo 9:2, 3: re 143

Ufunuo 14:10: re 210-211; rs 157-158

Ufunuo 20:10: w08 11/1 7; re 293-295; rs 157-158

“mababa” wa kale wa kanisa hawakukubaliana kuhusu fundisho la moto wa mateso: w02 7/15 4

maelezo: w09 11/1 5; w08 11/1 3-9; rs 154-160

mambo yaliyoonwa:

mama aliyetumia dawa za kulevya: w08 11/1 8-9

mtu aliyehofu mwanawe yumo motoni: yb05 63-64

mtu aliyeogopa angetupwa motoni: w01 10/15 10

mwanamume Myahudi aliyetaka kujua kweli kuhusu moto wa mateso: w01 7/15 32

maneno ya Kigiriki: rs 154, 156; bi12 1959; wt 82

maoni ya Biblia: w09 11/1 5; rs 154-160; w02 7/15 5-7; wt 82; w97 2/15 32

fundisho lisilo na manufaa: w08 11/1 8-9

maelezo ya C. T. Russell: w97 2/15 32; jv 129-130

mafundisho ya Yesu: w08 11/1 5-8

maoni ya Wanafunzi wa Biblia: jv 126-130

mjadala kati ya Russell na Eaton (1903): jv 128-130

maelezo ya kasisi, “Naterema kuona ukielekeza bomba la maji kwenye helo”: jv 130

neno la Kiebrania: rs 154, 156; bi12 1959; wt 82

tajiri na Lazaro: rs 159-160

ufafanuzi: rs 154

watu watakaotoka Hadesi (kaburini): w08 11/1 9

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki