Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Vijana Huuliza

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vijana Huuliza
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

VIJANA HUULIZA

(Ona pia Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi [Kitabu]; Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1 [Kitabu]; Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2 [Kitabu]; Young People Ask—How Can I Make Real Friends? [Video]; Young People Ask—What Will I Do With My Life? [DVD])

afya:

kwa nini nitunze afya yangu?: yp1 71-76; g 6/10 12-14

babu na nyanya:

kujenga uhusiano wa karibu: g02 1/22 30; g01 4/22 16-18; g01 5/22 13-15; g01 12/22 30

Biblia:

kufanya funzo livutie: g 2/12 18-20

kufurahia kuisoma: g 3/10 30; g 4/09 23-26; g02 4/8 30; g01 8/22 23-25

kwa nini kuishi kupatana na Biblia?: yp2 282-286, 288; g 12/08 28; g 11/07 26-28

burudani:

ninaweza kupata wapi burudani inayofaa?: g 11/11 17-19

dawa:

je, bangi ni mbaya kweli?: yp1 241

ninaweza kuacha jinsi gani kutumia dawa za kulevya?: yp1 252-256

steroidi: g05 12/22 19-21

dhambi:

je, niungame dhambi?: g97 1/22 10-12; g97 10/22 30

dini:

mambo ambayo kijana anaweza kufanya anapodhihakiwa: g00 2/22 30; g99 6/22 12-14

ninaweza kuifanya kweli iwe mali yangu mwenyewe jinsi gani?: g99 6/22 30; g98 10/22 12-14

faragha:

je, kuna ubaya wowote wa kutaka kuwa na faragha?: yp1 105-110; g 3/10 18-21

hasira:

jinsi ya kuwashughulikia watu wenye hasira: g01 11/22 23-25

ninaweza kuzuiaje hasira?: g 9/09 17-19

haya: g99 10/22 25-27; g99 11/22 11-13

heshima:

nifanye nini ili nijiamini zaidi?: g 5/10 26-28

hisia: yp2 216-243

huzuni: yp1 91-96; g 9/10 20-22

ninaweza kuzidhibiti jinsi gani?: yp2 218-224; g05 2/22 18-20; g05 12/8 30

huduma ya shambani:

nifanye nini nikikutana na mwanafunzi mwenzangu?: g02 2/22 21-23; g02 3/22 10-12; g02 10/8 30; g02 12/8 30

Intaneti:

naweza kuepukaje hatari?: g00 1/22 19-21

vituo (tovuti) vya maongezi: g05 9/22 19-21; g05 10/22 17-19

vituo (tovuti) vya mawasiliano: g 7/11 24-27; g 8/11 10-13

je, ugoro unadhuru?: g97 2/8 30; g96 4/22 25-27; g96 12/22 30

kadi za mkopo: g99 12/22 17-19

kazi:

nichague kazi gani?: g 7/06 23-25

kazi ya kuajiriwa: yp2 151-155

kwa nini nifanye kazi za mikono?: g 1/06 30; g05 3/22 20-22

kifo:

je, ni kawaida kuhuzunika ninavyohuzunika?: yp1 111-118

ninaweza kukabilianaje na kifo cha mzazi?: g 9/10 30; g 8/09 10-13

kubalehe: yp2 56-73

kuchagua kati ya tamaduni mbili: yp1 156-162; g 9/07 18-20

kuhama:

kuishi ng’ambo: yp2 164; g00 6/22 12-14; g00 7/22 25-27

kuiba mitihani:

kwa nini si vizuri?: g04 4/22 30; g03 1/22 13-15; g03 9/22 30; g03 11/8 30

kuishi na vijana wengine: g03 1/8 30; g02 4/22 16-18; g02 5/22 25-27; g02 6/22 15-17; g02 12/8 30

kujiamini:

nifanye nini ili nijiamini zaidi?: yp1 85-90

kujiua:

kwa nini nisijiue?: yp1 98-104; g 5/08 26-29

nifanyeje ikiwa ndugu yangu amejiua?: g 9/09 29; g 6/08 18-20

kujiumiza: g 1/06 10-12; g 2/06 18-20; g 10/06 28-29

kukaza fikira (umakini): g98 7/22 18-20; g98 9/22 18-20

kula:

kuhangaikia sana uzito: g99 4/22 13-15; g99 5/22 18-20

mtu anajua jinsi gani kama ana tatizo la kula?: g 6/07 13; g 10/06 18-21

kulinganishwa na wengine: g 4/07 11-13

kulipiza kisasi: g01 10/22 13-15

kupiga punyeto:

ninaweza kushinda tabia ya kupiga punyeto jinsi gani?: yp2 239-241

ninaweza kushinda zoea la kupiga punyeto jinsi gani?: yp1 178-182; g 11/06 18-20

kushindwa:

kwa nini sifanikiwi?: g 5/11 26-28

nifanye nini nisipofanikiwa?: g04 11/22 19-21

kusoma:

kwa nini ni lazima nisome?: g 4/07 29; g 5/06 15-17

kutafuta mchumba:

je, niko tayari?: yp2 14-20

kuna ubaya gani kuwa na urafiki wa kimapenzi wa siri?: yp2 21-27; g 6/07 26-29

kwa kutumia Intaneti: g05 4/22 16-18; g05 5/22 12-14

mvulana au msichana: g02 8/8 30; g01 12/22 25-27

ninaweza kuanza lini kuwa na urafiki wa kimapenzi?: g 2/08 30; g 1/07 27-30

wazazi wanaonelea mimi ni mchanga mno: g01 1/22 19-21; g01 10/8 30; g01 11/22 30

kutarajia ukamilifu: yp2 225-230; g04 3/22 30; g04 6/8 30; g03 7/22 11-13; g03 8/22 17-19

kutoa hotuba: g03 12/22 16-18

kutoboa sehemu ya mwili: g00 3/22 11-13; g00 12/22 30

kuwachukia watu wa jamii tofauti:

namna gani kuonea fahari jamii yako?: g98 2/22 25-27; g98 11/22 30

kuwa maarufu: g 3/12 15-17

kuwa mwanamume halisi: g 12/12 16-18

kuwa mwenye sifa zenye kuvutia: g03 3/8 30; g03 4/22 30; g02 7/22 13-15

kuwa mwenye urafiki: g00 5/8 30; g99 10/22 25-27; g99 11/22 11-13

kwa nini sipati vitu ninavyotaka?: g99 3/22 12-14

magonjwa:

kupambana na ugonjwa mbaya sana: g 3/09 30; g 2/08 26-28; g97 6/22 25-27

kwa nini mimi ni mgonjwa sana?: yp2 74-82; g98 2/8 29; g98 2/22 30; g97 4/22 17-19

maisha ya unafiki (nyuso mbili):

kuna ubaya gani?: yp2 136-141

makala za Amkeni!:

mfululizo wa makala waanzishwa: yp1 2

mshauri wa vijana azitumia: g03 5/8 32

zathaminiwa: w01 7/15 8-9; g01 10/22 30; g98 3/8 30

malengo (miradi):

ninaweza kuyafikia jinsi gani?: yp1 282-286; g 10/10 24-26

marafiki:

je, nimshtaki rafiki yangu?: g 12/08 19-21

jinsia tofauti: g 6/12 15-17; g 7/12 16-19

jinsi ya kuepuka watu wasiofaa: g 7/06 30; g05 8/22 25-27

jinsi ya kupata marafiki wazuri: yp1 57-63

kijana kupata marafiki walio na mapendezi kama yake: g 4/11 18-20

kuepuka kusongwa: g99 1/8 30; g98 4/22 17-19

kwa nini mtu anavutiwa na watu wasiofaa?: g 3/06 30; g 8/06 30; g05 7/22 19-21; g05 8/22 27

kwa nini rafiki yangu aliniumiza?: yp2 92-96, 98; g00 2/22 13-15; g00 10/22 30; g00 11/8 30

kwa nini siwezi kudumisha urafiki?: g97 2/22 30; g96 5/22 25-27

marafiki wangu wa kweli ni nani?: g 9/11 19-21

namna gani iwapo rafiki anajiingiza katika matatizo?: g96 1/22 15-17; g96 8/22 30

nitafute marafiki wazuri zaidi?: g 3/09 18-20

rafiki wa karibu anapohama: g97 10/8 30; g96 12/22 13-15

shuleni: yp2 142-146; g 4/06 17-19

vipi marafiki wanapoeleza matatizo yao?: g05 1/22 19-21; g05 11/8 30

matusi:

yana ubaya gani?: g 8/09 29; g 3/08 19-21

mavazi:

nivae nini?: yp1 77-84; g 11/09 18-21

mfadhaiko (mkazo):

ninawezaje kukabiliana nao?: g 11/12 18-20

ninaweza kuushinda shuleni jinsi gani?: yp1 128-133; g 9/08 26-28

michoro ya chanjo: g04 7/8 30; g03 9/22 25-27

mifano ya kuigwa: g 8/12 21-23; g98 5/22 12-14

mikutano:

kwa nini uhudhurie?: g 4/12 20-22

mimi ni nani?: g 10/11 26-28

misiba:

nifanye nini msiba ukitokea?: g03 6/22 12-14

mizungu:

ina hatari gani?: g02 1/22 25-27; g02 9/8 30

Mungu:

je, kuna faida yoyote kusali?: g02 2/22 30; g01 6/22 25-27; g01 7/22 13-15

kwa nini Mungu anaruhusu maovu yatokee?: g97 7/22 30; g96 10/22 18-20

kwa nini Mungu anaruhusu tuteseke?: g05 1/8 30; g04 3/22 12-14

ninaweza kuboreshaje sala zangu?: g 11/08 26-28

ninaweza kufanya nini ili nifurahie kumwabudu Mungu?: yp1 273-281; g 7/08 19-21

ninaweza kuitetea jinsi gani imani yangu katika Mungu?: yp2 297-303

urafiki pamoja na Mungu: yp2 289-296; g98 3/8 30; g97 2/22 11-13; g97 5/22 18-20; g97 12/8 30; g96 3/22 30; g96 7/8 30

muziki:

nihudhurie maonyesho ya roki?: g96 8/8 30

ninaweza kuwa na usawaziko jinsi gani kuhusu muziki?: yp2 253-262

roki ya badala: g97 9/8 30; g96 11/22 21-23

video za muziki: g03 2/22 19-21; g03 3/22 11-13

ndoa:

je, arusi rasmi ni ya lazima?: g05 11/22 21-23

je, mtu huyu ananifaa?: g 3/08 30; g 5/07 18-20

je, niko tayari?: yp1 212-214, 216-220

je, tunaweza kufaulu?: g96 1/8 30

kwa nini kila mtu anafunga ndoa ila mimi?: g96 6/8 27

namna gani ikiwa wazazi wanapinga?: g98 1/22 19-21

ninaweza kutarajia nini: g 9/12 10-12; g 10/12 16-18

ngono:

je, ngono itaboresha uhusiano wetu?: yp1 172-177; g 4/10 26-28

jinsi ya kukataa ngono shuleni: g 3/06 26-28

kabla ya ndoa: g05 5/8 30; g05 6/8 30; g04 7/22 12-14; g04 8/22 16-18

kufanya ngono bila kuwajibika: yp1 183-187

kujilinda na watu wanaowadhulumu wengine kingono: yp1 228-234

kusumbuliwa kingono: yp2 124-127; g00 8/22 25-27

kuzungumzia kwa simu mambo yanayoamsha tamaa ya ngono (ngono ya simu): g04 2/22 20-22; g04 12/8 30

mtu amepita “mipaka” wakati gani?: yp2 42-47

picha au habari chafu (ponografia): yp2 273-278; g 12/07 12-14

vijana ambao ni baba: g01 2/8 30; g00 4/22 13-15; g00 5/22 13-15

vipi kijana akishawishiwa kufanya ngono bila kuwajibika?: g 3/07 26-29

ngono kati ya watu wa jinsia moja:

jinsi ya kuiepuka: yp2 231-236; g 2/07 28-30

kuwaeleza wengine maoni ya Biblia: g 1/12 27; yp1 165-171; g 12/10 22-24

nifanye nini ili niwavutie watu mara ya kwanza?: g 6/11 26-28

ninaweza kuwasaidia watu wenye uhitaji jinsi gani?: g 8/06 23-25

nyumbani:

je, niko tayari kuondoka nyumbani?: yp1 49-54; g 7/10 10-13

kwa nini kuna sheria nyingi sana?: yp2 181-189; g 12/06 10-12

pesa:

kuna ubaya gani kuchuma pesa?: g97 9/22 12-14

namna gani kama familia yetu ni maskini?: yp2 164-170

ninawezaje kuchuma pesa?: yp2 150-155; g98 8/22 20-22

ninaweza kupangaje matumizi ya pesa zangu?: yp2 156-163

ninaweza kutumia pesa zangu vizuri jinsi gani?: g 6/06 10-13

porojo: yp2 105-110; g99 2/22 17-19; g99 10/22 30

ninaweza kuizuia jinsi gani?: g 8/07 12-14

shinikizo la vijana wengine:

je, linaweza kumwathiri kijana sana?: g03 7/22 30; g02 11/22 11-13

jinsi ya kulishinda: yp2 128-135; g03 8/22 30; g02 12/22 25-27

kukutana na rafiki wa shule katika huduma: g02 2/22 21-23; g02 3/22 10-12; g02 12/8 30

shule:

je, niache shule: yp1 134-141; g 11/10 26-29

kazi za shule za kufanyiwa nyumbani: g04 1/22 13-15; g04 11/8 30

kuboresha maksi: g98 3/22 20-22; g98 12/22 30

kuelewana na walimu: yp1 142-148

kupambana na mfadhaiko (mkazo): yp1 128-133; g 9/08 26-28

kwa nini ninaogopa kuhubiri shuleni?: yp1 121-127; g 7/09 24-27

marafiki shuleni: yp2 142-146; g 4/06 17-19

matatizo ya kujifunza: g97 3/22 30

michezo inayohusisha timu: yp2 265-266; g96 2/22 12-14; g96 3/22 21-23; g96 12/8 30

naweza kujilinda jinsi gani?: yp2 121-127

nifanye nini ili nifanikiwe shuleni?: yp2 114-120

ninaweza kutetea imani katika uumbaji jinsi gani?: yp2 300-303; g 9/06 26-28

simu:

simu za mkononi: g03 6/8 30; g02 10/22 18-20

sura:

kwa nini mimi ni mwembamba sana?: g01 5/22 30; g00 9/22 12-14

nifanye nini ikiwa sipendi umbo langu?: yp2 67-73

upasuaji wa kubadili sura: g03 4/22 30; g02 8/22 18-20

tafrija:

disko: yp2 271; g05 2/8 30; g04 4/22 25-27

je, kuna madhara kucheza dansi usiku kucha (rave)?: g97 12/22 25-26

je, vikusanyiko vyote vya kirafiki vinapendeza?: g 12/11 25-27

kucheza dansi: yp2 269-271

kujifurahisha (kuponda raha): yp2 263-272; g97 6/22 30; g97 7/8 30; g96 9/22 21-23

kutoka kisiri: g01 2/22 25-27; g01 11/8 30

kwa nini vijana wengine hupata raha yote?: g97 4/22 30; g96 7/22 25-27

michezo inayohusisha timu: yp2 265-266; g96 2/22 12-14; g96 3/22 21-23; g96 12/8 30

michezo inayomfanya mchezaji kuwa mhusika: g00 4/8 30; g99 8/22 12-14

michezo ya kompyuta na ya video: yp2 246-252; g 1/08 18-21; g96 8/22 12-14

ubatizo:

nibatizwe?: yp2 304-310

uhusiano pamoja na watu wa jinsia tofauti: yp2 12-55

je, sisi ni marafiki tu—au navutiwa naye kimanaba: g 6/12 15-17; g 7/12 16-19

kudhulumiwa na mpenzi: g05 3/8 30; g05 4/8 30; g04 5/22 19-21; g04 6/22 23-25

kufikiria daima mtu wa jinsia tofauti: yp2 237-242

kumpenda asiyekupenda: g05 10/8 30; g04 12/22 18-20; g99 3/8 30; g98 6/22 12-14

kuvunja uhusiano: yp1 221-227; g 1/09 18-20; g 2/09 18-20

kwa nini wasichana hawanipendi?: yp1 195-202; g 5/09 18-20

kwa nini wavulana hawanipendi: yp1 188-194; g 1/10 26-28

mtu amepita “mipaka” wakati gani?: yp2 42-47

mvulana amtendee jinsi gani msichana anayevutiwa naye?: g05 6/22 18-20

ninaweza kumkataa jinsi gani?: g01 3/22 12-14; g01 11/22 30

nitamwambiaje jinsi ninavyohisi?: g05 8/8 30; g04 10/22 20-22

ukosefu wa haki:

ninaweza kuvumiliaje ukosefu wa haki?: g99 9/22 10-12

umaarufu una ubaya gani?: g 3/12 15-17

unene unaopita kiasi:

kuhangaikia sana uzito wa mwili: g99 4/22 13-15; g99 5/22 18-20

kupunguza uzito: yp1 73; g 6/10 14

upendo:

nitajua jinsi gani kama ni upendo halisi?: yp1 203-211

vipi mtu unayempenda asipokupenda?: g05 10/8 30; g04 12/22 18-20; g99 3/8 30; g98 6/22 12-14

upweke:

kwa nini wengine hunitenga?: g 7/07 10-12

nifanye nini ili kujiondolea upweke?: yp2 86-91

urafiki wa kimahaba:

kuvunja uhusiano wa kimahaba: yp1 221-227; g 1/09 18-20; g 2/09 18-20

mtu anayeishi mbali: g99 1/22 13-15; g99 10/8 30

usemi:

Kwa Nini Nilisema Jambo Hilo?: g 1/12 21-23

uvutaji wa sigara:

kupinga shinikizo la kuvuta sigara: yp1 240

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kuvuta Sigara?: yp1 237-245; g 3/11 26-28

vifaa vya elektroniki:

je, mimi ni mraibu wa vifaa vya elektroniki?: yp1 259-264; g 1/11 24-27

vijana wanaowadhulumu vijana wenzao:

kuna ubaya gani?: g98 1/8 30; g97 3/22 17-19

vileo (pombe):

ubaya wa kunywa kupindukia ni nini?: yp1 246-251; g04 9/22 13-15

vishawishi:

ninaweza kupinga vishawishi jinsi gani?: yp1 64-70; g 8/08 26-28

wakati:

ninawezaje kuutumia kwa hekima?: yp1 150-155; g 6/09 19-21

wakati ujao:

nitayatumiaje maisha yangu?: yp2 311-317; g 6/07 13; g 7/06 23-25

walemavu:

ninawezaje kukabili ulemavu?: g 2/08 26-28

walioshuka moyo: yp1 94-96; g 9/10 22; yp2 220, 222-224; g00 10/22 13-15

wasiwasi: g02 5/8 30; g01 9/22 12-14

watoto wa familia moja:

kijana anawezaje kujijengea jina bila kutegemea ndugu zake?: g04 9/22 30; g03 11/22 25-27

kuelewana: yp1 40-47; g 8/10 26-29

kwa nini wanapata uangalizi wote?: g97 10/22 25-27; g97 11/22 18-20

watoto wa kupanga (watoto wenye wazazi walezi): g03 4/22 25-27; g03 5/22 18-20

wazazi: yp2 172-215

baba wanapoacha familia: g00 11/22 13-15; g00 12/22 25-27

kuishi bila wazazi: g99 7/22 30; g98 11/22 23-25; g98 12/22 25-27

kuishi pamoja na mzazi mmoja tu: yp2 208-214

kulaumiwa na wazazi sikuzote: g97 7/22 18-20; g97 8/22 19-21

kuwafahamu vizuri zaidi: g 10/09 10-13

kwa nini hawaniachi nijifurahishe?: yp1 265-270; g 2/11 10-12

kwa nini hawaniamini?: g 9/09 29; g 4/08 27-29

kwa nini hawanipendi?: g03 5/8 30; g03 5/22 30; g02 9/22 20-22

kwa nini sisi hubishana kila wakati: yp1 14-20; g 2/10 26-29

kwa nini wazazi wangu hawanielewi: g 5/12 19-21

mzazi anapoacha kumtumikia Yehova: yp2 198

mzazi anapooa au kuolewa tena: yp1 34-39

mzazi mlevi au anayetumia dawa za kulevya: yp2 190-192, 194-197

ninawezaje kutambuliwa bila kuwategemea?: g04 8/8 30; g03 10/22 25-27

nizungumze jinsi gani na wazazi wangu?: yp1 7-13; g 12/09 18-21

saa ya kurudi nyumbani: g 10/08 26-29

vijana wanavyoweza kufanya ili wazazi wawape uhuru zaidi: yp1 21-27; yp2 184, 186

wazazi wagonjwa: g00 3/8 30; g99 7/22 21-23

wazazi wanapobishana: yp2 199-205; g 10/07 18-20

wazazi wanapokosea: g96 1/22 30

wazazi wanapotengana: yp1 28-33; yp2 206-207

wazazi wanapowachambua (laumu) vijana: yp2 174-180

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki