Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 2/15 uku. 25
  • “Ni Mnyofu na Dini Yake”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Ni Mnyofu na Dini Yake”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Mnyoofu Katika Mambo Yote
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova
  • Uwe Mnyoofu Katika Mambo Yote
    Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 2/15 uku. 25

“Ni Mnyofu na Dini Yake”

Ingawa idara za serikali zimesaidia sana shughuli za ujenzi wa Sosaiti ya Mnara wa Mlinzi katika Naijeria, magazeti fulani na viongozi wa kidini wamejaribu kutokezea Mashahidi wa Yehova matata juu ya suala la kutokuwamo. Ijapokuwa hivyo, waandishi wa habari wengine katika magazeti wametoa sifa. Mwandikaji mmoja, ambaye ni mwanasheria, aliuliza kama Mashahidi wa Yehova “wanajionyesha kuwa wenye kupinga uzalendo.” Akitoa jibu lake mwenyewe alisema: “Mashahidi ni raia wanaolipa kodi na kutii sheria. Ye yote . . . aliye Shahidi anayeweza kuwa mnyofu na dini yake kwa kadiri ya kuitii ajapokabiliwa na hatari ya kupoteza mapendeleo fulani atakuwa mnyofu ivyo hivyo katika mambo mengine yaliyo mengi . . . Sababu inayomfanya yeye akatae kuiba pesa za serikali huku wafanya kazi wenzake... wakiimba wimbo wa taifa na bado wakiiba-iba pesa ni kwa sababu Biblia yake inayomwagiza asiimbe wimbo wa taifa ilisema pia haimpasi aibe.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki