Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 1/1 uku. 26
  • Petro Amkana Yesu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Petro Amkana Yesu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Habari Zinazolingana
  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Awashangaza Wasikilizaji Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Ashinda Vishawishi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 1/1 uku. 26

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Petro Amkana Yesu

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa mhusika katika matukio yanayozungumziwa. Fikiria kikao. Sikia sauti. Hisi kama wahusika wakuu wanavyohisi.

FIKIRIA TUKIO HILI.—SOMA MATHAYO 26:31-35, 69-75.

Unafikiri ni watu wangapi waliokuwa katika kikao hicho?

․․․․․

Je, unafikiri watu waliomhoji Petro walikuwa wenye urafiki? wadadisi? wamekasirika? hali nyingine tofauti?

․․․․․

Unafikiri Petro alihisi namna gani alipokuwa akishtakiwa?

․․․․․

Kwa nini Petro alimkana Yesu? Je, ni kwa sababu hakumpenda Yesu au kulikuwa na sababu nyingine?

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.—SOMA LUKA 22:31-34; MATHAYO 26:55-58; YOHANA 21:9-17.

Huenda kujitumainia kupita kiasi kulihusika jinsi gani katika kosa la Petro?

․․․․․

Yesu alionyesha namna gani kwamba alimtumaini Petro, hata ingawa alijua kwamba Petro angeshindwa kwa kipindi fulani?

․․․․․

Ingawa alimkana Yesu, Petro alionyesha kwa njia gani ujasiri mkubwa hata kuliko wale wanafunzi wengine?

․․․․․

Yesu alionyesha jinsi gani kwamba alimsamehe Petro?

․․․․․

Unafikiri ni kwa nini Yesu alimwuliza Petro hivi mara tatu: ‘Je, unanipenda?’

․․․․․

Unafikiri Petro alihisi namna gani baada ya kuzungumza na Yesu, na kwa nini?

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Kuwaogopa wanadamu.

․․․․․

Huruma ya Yesu kuwaelekea wanafunzi wake, hata walipokosea.

․․․․․

Katika simulizi hilo, ni jambo gani lililo la maana zaidi kwako, na kwa nini?

․․․․․

․․․․․

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki