Matangazo
● Toleo la fasihi kwa Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi wa mwaka mmoja. Uandikishaji wa Amkeni! unaweza kutolewa kwa msingi ule ule. Maandikisho ya miezi sita na mwaka mmoja ya chapa za kila mwezi yanaweza kupatikana. Juni: Amani ya Kweli na Usalama—Wewe Unaweza Kuupataje? au “Ufalme Wako Uje” katika Kiswahili. Julai hadi Septemba: Mojapo za broshua zinazofuata zenye ukubwa wa gazeti: Furahia Maisha Milele Duniani!, “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya,” Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, na Serikali Itakayoleta Paradiso.
● Bei mpya ya uandikishaji wa ndege kwa kikundi cha watu 7 kwa magazeti ya Kiingereza ni kama ifuatavyo kwa kila mtu katika kikundi hicho: Kenya: 250/= watu wote na 218/= painia; Tanzania: 1,660/= watu wote na 1,360/- painia; Uganda: 2,760/= watu wote na 2,360/= painia.
● Bei ya Tanzania kwa uandikishaji wa ndege kwa kila nakala moja katika Kiingereza au Kiswahili ni: 2,370/- watu wote na 2,070/= painia.
● Waangalizi wasimamizi: Halmashauri ya utumishi na ndugu wanaoshughulikia vitabu wanapasa kukumbuka kwamba fomu hazipasi kutiwa ndani katika S-18 fomu ya Orodha ya Vitabu. Fomu zinapasa kulipiwa kutoka kwa hesabu ya pesa za kundi kwa kuhamisha kiasi kinachohitajiwa kutoka kwa pesa za kundi kuingia hesabu ya vitabu. Tafadhali ona fungu 9 la Maagizo Kuhusu Hesabu ya Kundi.
● Tarehe za kujaribia za “Ujitoaji Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya 1989:
Tarehe: Mahali:
Novemba 24-26, 1989
Mbeya, Tanzania
Desemba 1-3, 1989
Mombasa, Kenya
Mbale, Uganda
Desemba 8-10, 1989
Kampala, Uganda
Desemba 15-17, 1989
Eldoret, Kenya
Dar-es-Salaam,
Tanzania
Desemba 22-24, 1989
Nairobi, Kenya
Desemba 29-31, 1989
Kisumu, Kenya
Mwanza, Tanzania
Januari 5-7, 1990
Victoria, Seychelles
Moshi, Tanzania