Matangazo
● Toleo la fasihi kwa Novemba: New World Translation of the Holy Scriptures na broshua Jina. Desemba: Hadithi za Biblia, Kuishi Milele. Januari na Februari: Chochote cha vitabu vyenye kurasa 192 ambacho kundi linacho akibani, kilichotangazwa kwa kupigwa chapa kabla ya 1980, kwa nusu ya mchango wa kawaida, isipokuwa vifuatavyo: Maisha ya Jamaa, Mwalimu Mkuu, Uzima Uu Huu, Kweli, na Ujana.
● Makundi yanapaswa yaanze kuagiza Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova cha 1990 katika maagizo yao ya vichapo ya Novemba. Kitabu cha Mwaka kitapatikana katika Kiingereza, Kifaransa, na Kiswahili. Mapainia wa kawaida na wa pekee ambao wameingia katika orodha kabla ya Julai 1, 1989, wanaweza kupokea nakala ya bure na kundi linaweza kuomba kupunguziwa bei.
● Bei mpya za uandikishaji wa ndege kwa magazeti ya Kiingereza na Kiswahili: Kshs. 395/= mhu, 350/= pai; SRps. 85.00 mhu, 71.00 pai; S£118.50 mhu, 103.50 pai; Tshs. 2,370/= mhu, 2,070/= pai; Ushs. 3,910/= mhu, 3,510/= pai. Nchi zile nyingine ulizeni.
● Tarehe za “Ujitoaji Kimungu” Mkusanyiko wa Wilaya:
Tarehe: Mahali:
Novemba 3-5, 1989
Mbeya,Tanzania
Desemba 1-3, 1989
Mombasa, Kenya
Mbale, Uganda
Desemba 8-10, 1989
Kampala, Uganda
Desemba 15-17, 1989
Eldoret, Kenya
Dar-es-Salaamu,
Tanzania
Desemba 22-24, 1989
Nairobi, Kenya
Desemba 29-31, 1989
Kisumu, Kenya
Mwanza, Tanzania
Januari 5-7, 1990
Victoria, Seychelles
Moshi, Tanzania
● Vichapo vinavyofuata vinapatikana sasa katika Braille (ya vipofu) Kiingereza daraja la pili:
Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—1990 (mabuku manne)
Ratiba ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi ya 1990 (buku moja) Bure
Mabadiliko katika Bei: Kuanzia Septemba 1, 1989, bei ya uandikishaji wa mwaka mmoja kwa Mnara wa Mlinzi katika maandishi ya vipofu katika Kiingereza ni Kshs. 200/=; SRps. 70; Tshs. 1,200/=; Ushs. 2,000/=. Vitabu vya vipofu vilivyojalidiwa kwa karatasi vina bei inayofuata: mabuku matatu, Kshs. 90/=; SRps. 31.50; Tshs. 540/=; Ushs. 900/=; mabuku manne, Kshs. 120/=; SRps. 42; Tshs. 720/=; Ushs. 1,200/=; mabuku matano, Kshs. 150/=; SRps. 52.50; Tshs. 900/=; Ushs. 1,500/=; mabuku sita, Kshs. 180/=; SRps. 63; Tshs. 1,080/=; Ushs. 1,800/=. Nchi zile nyingine ulizeni.
Tieni alama hii katika maagizo ya vichapo vya Vipofu, ATTENTION: BRAILLE DESK. Tia ndani jina na anwani ya mtu ambaye atatumia vifaa hivyo vya vipofu, na pia malipo ya vifaa vinavyonunuliwa.