Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/90 uku. 8
  • Habari za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1990
Huduma Yetu ya Ufalme—1990
km 11/90 uku. 8

Habari za Kitheokrasi

◆ Chile iliripoti kilele kipya ambacho hakijapata kufikiwa cha wahubiri 36,968 katika Juni. Hilo lilikuwa ongezeko la asilimia 12 kupita wastani wa mwaka jana. Kilele kipya cha mafunzo ya Biblia nyumbani 53,967 kiliripotiwa pia.

◆ Ripoti ya wahubiri katika Juni ya Jamhuri ya Muungano ya Ujeremani inaonyesha ongezeko la asilimia 4 kupita wastani wa mwaka jana. Jumla la 131,106 waliripoti.

◆ India iliripoti kilele kipya cha wahubiri 10,272 kwa mwezi Juni. Hilo ni ongezeko la asilimia 17 kupita wastani wa mwaka jana. Pia kulikuwako kilele kipya katika mapainia wa kawaida, ziara za kurudia, na mafunzo ya Biblia.

◆ Réunioni ilikuwa na ongezeko la asilimia 18, ikiwa na wahubiri 1,833 wakiripoti katika Juni. Walikuwa na vilele vipya katika ziara za kurudia na mafunzo ya Biblia pia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki