Mikutano ya Utumishi wa Shambani
DESEMBA 3-9
Kichwa cha Mazungumzo
1. Pitia utangulizi na maandiko.
2. Wewe utatangulizaje toleo?
DESEMBA 10-16
Unapotoa Kitabu Kuishi Milele
1. Unaonyesha mambo gani? (Waweza kutumia sura zifuatazo: 4, 11, 19, 29 au ile inayompendeza mwenye nyumba.)
2. Ni maswali gani yataamsha kupendezwa?
DESEMBA 17-23
Wewe Waitikiaje
1. Salamu za sikukuu?
2. Maswali juu ya kwa nini sisi hatusherehekei Krismasi?
DESEMBA 24-30
Wakati wa sikukuu
1. Twaweza kuwaonyeshaje staha na kuwafikiria wenye nyumba?
2. Wewe Utatumia utangulizi gani?