Ripoti ya Utumishi ya Agosti
Wast. Wast. Wast. Wast.
Idadi ya: Saa Mag. Z. K. Maf. Bi.
K
Pai. Pekee 163 138.1 35.7 49.1 8.0
Mapai. 599 77.0 18.1 22.1 4.2
Pai. Msai. 644 63.4 15.9 15.0 2.6
Wahu. 5,112 16.0 4.6 4.8 1.0
JUMLA 6,518 Kilele Kipya: 6,300
S
Pai. Msai. 37 63.0 23.7 43.2 5.6
Wahu. — 18.0 9.0 9.7 1.8 Kilele Kipya!
T
Pai. Pekee 103 139.2 45.8 54.6 7.0
Mapai. 440 81.5 20.8 25.6 3.4
Pai. Msai. 323 59.1 17.7 16.2 2.1
Wahu. 3,072 15.0 2.8 4.7 0.6
JUMLA 3,938
U
Pai. Pekee 35 132.2 83.5 60.1 8.5
Mapai. 60 86.4 28.9 39.4 6.2
Pai. Msai. 25 62.8 25.2 20.0 4.8
Wahu. 743 14.5 5.0 6.8 1.7
JUMLA 893 Kilele Kipya!
Mwaliko wa ‘Njoo! Na . . . acha yeyote ambaye anataka atwae maji ya uhai bure’ ulienezwa kwa idili kotekote katika eneo letu wakati wa mwaka wa utumishi wa 1991. Ripoti ya mwaka yaonyesha kwamba wahubiri 16,038 (ongezeko la asilimia 13) walitumia saa zaidi ya milioni 5 katika huduma na kuongoza mafunzo ya Biblia nyumbani 24,341 kwa wastani. Kama tokeo, 46,192 walihudhuria Ukumbusho na 2,166 (ongezeko la asilimia 57) walionyesha wakfu wao. Wengi zaidi walitoa mwaliko wakiwa mapainia na kwa wastani 3,127 walishiriki katika huduma hii kila mwezi. Ni ripoti ya kustaajabisha kama nini! Katika sehemu nyingine kuna uhuru zaidi wa kushiriki katika huduma hali katika sehemu nyingine magumu fulani yanaonwa. Bila kujali hali, sisi tuna uhakika kwamba ‘katika tumaini, mtafurahi,’ ‘katika dhiki, mtasubiri,’ na ‘katika sala mtadumu’ mnapohubiri habari njema za Ufalme wa Mungu katika maeneo yenu wakati wa mwaka wa utumishi wa 1992.—Rum. 12:12.