Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/96 uku. 11
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1996
Huduma Yetu ya Ufalme—1996
km 10/96 uku. 11

Matangazo

◼ Toleo la fasihi kwa Oktoba: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo andikisho halikubaliwi, toa magazeti yote mawili kwa mchango wa kawaida. Novemba: Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Jitihada ya pekee itafanywa kufuatia maangusho yote, tukiwa na kusudi la kuanzisha mafunzo ya Biblia nyumbani. Desemba: New World Translation pamoja na kitabu Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu? Januari: Kitabu chochote chenye kurasa 192 kilichotangazwa kabla ya 1984 ambacho kutaniko laweza kuwa nacho akibani. Makutaniko ambayo hayana ugavi wa vitabu hivyo yaweza kutoa Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya au Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani.”

◼ Moja ya nyongeza katika toleo hili la Huduma ya Ufalme Yetu ni “Ratiba ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi ya 1997” na yapasa kuwekwa kwa ajili ya marejezo katika mwaka 1997.

◼ Makutaniko yapaswa kuanza kuagiza Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—1997 pamoja na agizo lao la fasihi la Oktoba. Vijitabu hivyo vitapatikana katika Gujarati, Kiamhari, Kiarabu, Kichina, Kichina (Sahili), Kifaransa, Kihindi, Kiingereza, Kinyarwanda, na Kiswahili. Vijitabu Kuyachunguza Maandiko ni bidhaa za agizo la pekee.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki