Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/97 uku. 2
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1997
Huduma Yetu ya Ufalme—1997
km 5/97 uku. 2

Habari Za Kitheokrasi

Mikusanyiko: Mikusanyiko ya wilaya ya 1996 ilimalizika kwa mafanikio katika nchi zote kukiwa na vilele vifuatavyo:

Hudhurio Ubatizo

Kenya: 22,000 775

Rwanda: 6,993 318

Tanzania: 11,976 336

Uganda: 3,294 162

Tunapojitahidi kutumia shauri na mambo tuliyojifunza katika mfululizo huu wa mikusanyiko, twatazamia mbele kwa hamu “Imani Katika Neno la Mungu” Mikusanyiko ya Wilaya ya 1997.

Ujenzi wa Ofisi ya Tawi: Kufikia wakati mtakapopokea toleo hili la Huduma ya Ufalme Yetu, kazi kubwa yote ya ujenzi itakuwa imekamilishwa isipokuwa labda Jumba la Ufalme jipya. Yamkini kazi fulani itakuwa inaendelea ya kuweka mfumo wa simu na lifti mbili. Kazi ya kumalizia bado itabaki kukamilishwa. Inatazamiwa kwamba mradi wote utamalizika Julai hivi. Twathamini utegemezo mzuri wa kifedha na njia nyingine ambayo wengi wametegemeza mradi huu. Yehova na aendelee kubariki roho mnayoonyesha.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki