Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/99 uku. 7
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1999
Huduma Yetu ya Ufalme—1999
km 8/99 uku. 7

Habari Za Kitheokrasi

◼ Burundi: Kuanzia Januari 1998 hadi Aprili 1999, kwa msaada wa Watumishi wa Kimataifa na Wajitoleaji, Majumba ya Ufalme 13 yalijengwa katika Burundi na 9 yakawekwa wakfu.

◼ Chile: Takwa jipya la saa kwa mapainia lilipokewa kwa uchangamfu, kama ilivyothibitishwa na kilele kikuu zaidi cha mapainia wa kawaida 4,351 walioripoti mwezi wa Januari. Pia, mapainia-wasaidizi 5,175 waliripoti, hiyo ikiwa kilele cha mwaka huu.

◼ Hivi majuzi Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu: Kinoo, Kenya; Kigali Biryogo, Rwanda.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki