Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/11 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 17
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JANUARI 17
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 1/11 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 17

JUMA LINALOANZA JANUARI 17

Wimbo 77 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

cf sura ya 16 ¶7-14 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Ezra 1-5 (Dak. 10)

Na. 1: Ezra 3:1-9 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Kwa Nini Wayahudi kwa Ujumla Hawakumkubali Yesu Kuwa Masihi?—rs uku. 429 ¶2–uku. 430 ¶1 (Dak. 5)

Na. 3: Roho Humrudia Mungu Katika Njia Gani?—Mhu. 12:7 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 116

Dak. 5: Matangazo. Taja Habari Kuu za Utumishi zilizo katika toleo hili la Huduma Yetu ya Ufalme.

Dak. 10: Umuhimu wa Kurudia Mambo Tunapohubiri. Mazungumzo yanayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 206-207. Onyesha kifupi jinsi ya kutumia hoja moja au mbili zinazozungumziwa humo.

Dak. 20: “Je, Unajua Mbinu Zote za Matibabu Yasiyohusisha Damu?” Maswali na majibu. Tumia habari katika fungu la 1 katika utangulizi na habari katika fungu la 3 katika umalizio. Ishughulikiwe na mzee.

Wimbo 7 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki