Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/11 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 1/11 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Katika mwezi wa Agosti 2010, makutaniko mengi yalifanya vema katika kutoa ripoti. Kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 24,515. Pia kulikuwa na kilele kipya cha mapainia wa kawaida 2,557.

Tanzania: Katika mwaka wa utumishi uliopita, kulikuwa na ongezeko la asilimia 2 ya wahubiri. Pia, kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 15,091. Mafunzo ya Biblia 22,284 yaliongozwa. Watu 47,844 walihudhuria Ukumbusho. Hiyo ni zaidi ya mara 3 ya kilele cha wahubiri!

Uganda: Mwishoni mwa mwaka wa utumishi kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 5,271. Katika mwaka huo, kulikuwa na wastani wa mafunzo ya Biblia 12,780 yaliyoongozwa kila mwezi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki