Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/11 uku. 4
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 7
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MACHI 7
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 2/11 uku. 4

Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 7

JUMA LINALOANZA MACHI 7

Wimbo 102 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

cf sura ya 18 ¶19-23, sanduku kwenye uku. 191 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Esta 6-10 (Dak. 10)

Na. 1: Esta 7:1-10 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Kwa Kuwa Yesu Huabudiwa, Je, Hilo Linathibitisha Kwamba Yeye Ni Mungu?—rs uku. 433 ¶4 uku. 434 ¶1 (Dak. 5)

Na. 3: Kwa Nini Yesu Ndiye Wakili Mkuu na Mkamilishaji wa Imani Yetu?—Ebr. 12:2 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 10

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 10: Zungumza kwa Usadikisho Unapofundisha. Hotuba inayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 255-257. Onyesha kifupi jambo moja au mawili katika habari hiyo.

Dak. 10: Tumia Trakti Vizuri. Mazungumzo. Taja baadhi ya trakti zinazopatikana kwenu. Eleza wakati ambapo trakti hizo zinaweza kutumiwa na kwa nini zinavutia. Waombe wasikilizaji waeleze jinsi wameweza kutumia trakti vizuri. Tia ndani onyesho moja au mawili.

Dak. 10: Mahitaji ya kwenu.

Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki