Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/11 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 21
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MACHI 21
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 3/11 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 21

JUMA LINALOANZA MACHI 21

Wimbo 47 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 1 ¶10-15, chati kwenye uku. 12 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Ayubu 6-10 (Dak. 10)

Na. 1: Ayubu 8:1-22 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Je, Kumwamini Yesu Kristo Ndilo Takwa la Pekee la Kupata Wokovu?—rs uku. 435 ¶1 (Dak. 5)

Na. 3: Tunawezaje Kutumia Shauri Lililo Katika Mathayo 10:16? (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 114

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 15: Tumia Biblia Unapojibu Maswali. Mazungumzo yanayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 143-144. Panga maonyesho mawili kuhusu mhubiri anayeulizwa swali ambalo huenda watu wa eneo lenu wakauliza. Katika onyesho la kwanza anajibu kwa usahihi lakini harejelei Biblia. Katika onyesho la pili anatumia Biblia anapojibu. Waombe wasikilizaji waeleze kwa nini njia ya pili ya kujibu ni bora.

Dak. 15: “Usambazaji wa Mialiko ya Ukumbusho Utaanza Aprili 2.” Maswali na majibu. Wape wahubiri wote mwaliko wa Ukumbusho, na upitie yaliyomo. Eleza mipango ambayo imefanywa ili kusambaza mialiko katika eneo lote la kutaniko. Panga onyesho.

Wimbo 109 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki