Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 4/12 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2012
Huduma Yetu ya Ufalme—2012
km 4/12 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Kulikuwa na utendaji mzuri mwezi wa Novemba 2011 na wahubiri waliwaachia watu vitabu 52,984 na kuongoza mafunzo ya Biblia 45,374. Hivyo vilikuwa vilele vipya na idadi hiyo ya mafunzo ya Biblia ni karibu mara mbili ya idadi ya wahubiri. Jitihada zilizofanywa na wahubiri na mapainia za kuwapa watu wanaopendezwa baadhi ya machapisho ya zamani zilichangia idadi hiyo kubwa ya vitabu vilivyoachiwa watu mwezi wa Novemba.

Uganda: Jumla ya wahubiri 5,606 waliongoza mafunzo ya Biblia 15,144 katika mwezi wa Novemba 2011. Idadi hiyo ya wahubiri ni ongezeko la asilimia 8, na mafunzo ya Biblia yaliyoongozwa ni asilimia 10 zaidi ikilinganishwa na mwezi wa Novemba 2010. Kwa kweli, watu wa Yehova wanafanya kwa bidii kazi hii ya kufundisha inayookoa uhai!—1 Tim. 4:16.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki