Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/14 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 3/14 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Katika mwezi wa Septemba, mapainia 26 walihudhuria darasa la kwanza la Shule ya Utumishi wa Painia iliyofanywa kwa Lugha ya Ishara ya Kenya (KSI).

Sudan Kusini: Katika mwezi wa Agosti, kulikuwa na wahubiri 1,288, na waliongoza mafunzo ya Biblia 3,222. Kulikuwa na ongezeko la wahubiri la asilimia 9 katika mwaka wa utumishi wa 2013.

Sudan: Katika mwezi wa Agosti, kulikuwa na wahubiri 458, na waliongoza mafunzo ya Biblia 884.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki