Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/14 uku. 3
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 25
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA AGOSTI 25
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 8/14 uku. 3

Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 25

JUMA LINALOANZA AGOSTI 25

Wimbo 112 na Sala

cl sura ya 12 ¶1-8 (Dak. 30)

Usomaji wa Biblia: Hesabu 14-16 (Dak. 10)

Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi (Dak. 20)

Wimbo 96

Dak. 5: Mambo Yaliyoonwa Katika Eneo Lenu. Panga kuwe na igizo la jambo moja au mawili yaliyoonwa yanayoonyesha mhubiri akizungumza kwa ujasiri kuhusu Ufalme. Zungumzia kwa ufupi andiko la Waebrania 6:11, 12, ukikazia umuhimu wa kuwa na bidii katika kuutangaza Ufalme.

Dak. 10: Kufafanua Maana ya Ufalme—Sehemu ya 1. Hotuba itolewe na mzee ikitegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 280, fungu 1-4.

Dak. 15: Kufafanua Maana ya Ufalme—Sehemu ya 2. Mazungumzo yanayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 280, fungu la 5, hadi ukurasa wa 281, fungu la 1. Tia ndani onyesho la mhubiri anayejadiliana na mtu ili kuthibitisha kwamba Ufalme ni serikali halisi.

Wimbo 101 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki