Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 9/14 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 9/14 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Katika mwezi wa Aprili kulikuwa na Kusanyiko la Pekee la kwanza la lugha ya ishara (KSI). Kulikuwa na wahudhuriaji 395, kati yao 115 walikuwa viziwi, na 6 ambao wote ni viziwi walibatizwa.

Uganda: Ripoti ya utumishi wa shambani ya Machi 2014, inaonyesha kwamba kulikuwa na ongezeko. Kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 6,468. Pia, kulikuwa na vilele vipya vya magazeti, ziara za kurudia, na mafunzo ya Biblia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki