Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/14 uku. 3
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 24
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA NOVEMBA 24
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 11/14 uku. 3

Ratiba ya Juma Linaloanza Novemba 24

JUMA LINALOANZA NOVEMBA 24

Wimbo 50 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 16 ¶10-17 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Kumbukumbu la Torati 28-31 (Dak. 10)

Na. 1: Kumbukumbu la Torati 30:15–31:8 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Wanyama Ni Nafsi—rs uku. 222 ¶6–uku. 223 ¶5 (Dak. 5)

Na. 3: Mungu Haruhusu Ibada ya “Kadiri”—td 23C (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 47

Dak. 10: “Tumia Tovuti Yetu Katika Huduma—‘Majibu ya Maswali ya Biblia.’” Mazungumzo. Zungumzia baadhi ya maswali yanayojibiwa katika kipengele hicho katika Tovuti yetu. (Tembelea Tovuti ya jw.org/sw, na tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MAJIBU YA MASWALI YA BIBLIA.) Panga kuwe na onyesho fupi kwa kutumia pendekezo moja kutoka kwenye makala iliyo katika ukurasa huu. Waombe wasikilizaji wapendekeze njia nyingine za kutumia kipengele hicho katika huduma.

Dak. 10: “Hapatikani Tena Nyumbani!” Mazungumzo. Zungumzieni kwa nini ni muhimu kuendelea kumtafuta mtu aliyependezwa hata ikiwa ni vigumu kumpata tena nyumbani.—Mt. 28:19, 20; Marko 4:14, 15; 1 Kor. 3:6.

Dak. 10: “Kifaa Kipya cha Kufanyia Utafiti.” Hotuba. Pitia maagizo yaliyo chini ya kichwa “Jinsi ya Kupata Habari,” kwenye sehemu ya utangulizi katika Mwongozo wa Utafiti. Kazia sehemu mbalimbali za kifaa hicho kipya. Panga kuwe na onyesho fupi la mhubiri anayejizungumzia akitumia Mwongozo wa Utafiti.

Wimbo 69 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki