Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 9/15 uku. 4
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 9/15 uku. 4

Matangazo

◼ Machapisho yatakayotolewa mwezi wa Septemba na Oktoba: Magazeti ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Novemba na Desemba: Biblia Inafundisha Nini Hasa? au mojawapo ya trakti zifuatazo: Je, Kuteseka Kutaisha? na Je, Kweli Wafu Wataishi Tena?

◼ Hotuba ya pekee katika majira ya Ukumbusho ya mwaka wa 2016 itatolewa juma la Machi 28. Kichwa cha hotuba hiyo kitatangazwa baadaye. Makutaniko yatakayokuwa na ziara ya mwangalizi wa mzunguko au kusanyiko mwishoni mwa juma hilo, yatapanga hotuba hiyo itolewe katika juma linalofuata. Hotuba hiyo haipaswi kutolewa katika kutaniko lolote kabla ya Machi 28.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki