Habari Kuu za Utumishi
Kenya: Katika mwezi wa Machi kulikuwa na kilele kipya cha machapisho yaliyotolewa, jumla ya trakti, vijitabu, na broshua 1,073,289.
Sudan: Kilele kipya cha jumla ya trakti, vijitabu, na broshua 8,925 kiliripotiwa katika mwezi wa Machi.
Sudan Kusini: Kilele kipya cha wahubiri 1,293 kiliripotiwa katika mwezi wa Machi.
Tanzania: Kulikuwa na vilele vipya vya vitabu 10,514 na magazeti 226,015 vilivyoripotiwa. Mahubiri ya hadharani katika miji mikubwa na maeneo ya umma, yalichangia vilele hivyo.