Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Februari uku. 4
  • Maisha Bora Zaidi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maisha Bora Zaidi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Ufalme wa Mungu Ulianza Kutawala Lini? (Sehemu ya 1)
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Ufalme wa Mungu Ulianza Kutawala Lini? (Sehemu ya 2)
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Kueleza Mambo Tunayoamini Kuhusu Mwaka wa 1914
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2013
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Februari uku. 4

MAISHA YA MKRISTO

Maisha Bora Zaidi

Vijana wana fursa nyingi za kutumikia katika tengenezo la Yehova. Tazama video yenye kichwa Maisha Bora Zaidi na uone jinsi Cameron alivyotumia ujana wake kwa hekima. Kisha ujibu maswali yaliyo hapa chini. (Tembelea Tovuti ya jw.org/sw, na utafute kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA.)

Cameron anaonyesha njia ya kwenda Malawi kutoka Marekani
  • Sikuzote Cameron ametanguliza jambo gani muhimu maishani mwake?

  • Ni wakati gani aliamua kupanua utumishi wake na alifanya hivyo jinsi gani?

  • Alijitayarishaje kutumikia kwenye eneo lenye uhitaji mkubwa zaidi katika nchi nyingine?

    Cameron anamwonyesha mwanamke nchini Malawi andiko
  • Cameron alikabili hali gani alipokuwa akitumikia katika nchi ya kigeni?

  • Kwa nini ni vizuri kumtumikia Yehova katika eneo au mazingira ambayo hatujawahi kutumika?

  • Cameron alipata baraka gani?

    Mashahidi nchini Malawi wanatuma salamu
  • Kwa nini kumtumikia Yehova kunafanya tuwe na maisha bora zaidi?

  • Vijana wana fursa gani nyingine katika tengenezo la Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki