Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Februari uku. 5
  • Watumishi Waaminifu Huunga Mkono Mipango ya Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Watumishi Waaminifu Huunga Mkono Mipango ya Kitheokrasi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Nehemia Alikuwa Mwangalizi Mzuri Sana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mmetakaswa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Kuamini Tengenezo lishindalo la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Misherehekeo ya Matukio Muhimu Katika Historia ya Israeli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Februari uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | NEHEMIA 9-11

Watumishi Waaminifu Huunga Mkono Mipango ya Kitheokrasi

Mume na mke wanamwabudu Yehova

Njia mbalimbali ambazo watumishi wa Mungu waliunga mkono kwa hiari ibada ya kweli

10:28-30, 32-39; 11:1, 2

  • Taifa lilijitayarisha na kusherehekea Sherehe ya Vibanda kwa njia inayofaa

  • Kila siku watu walikusanyika kusikiliza Sheria ya Mungu ikisomwa, na walipata shangwe kwa kufanya hivyo

  • Watu waliungama dhambi zao, walisali, na walimwomba Yehova awabariki

  • Watu walikubali kuendelea kuunga mkono mipango yote ya kitheokrasi

Waliendelea kuunga mkono mipango ya kitheokrasi kwa:

  • Mume na mke wanamwabudu Yehova

    Kuoa au kuolewa na waabudu wa Yehova pekee

  • Sarafu mbili

    Kutoa michango ya pesa

  • Kitabu cha kukunjwa chenye Sheria ya Musa

    Kushika Sabato

  • Kuni kwa ajili ya madhabahu

    Kuandaa kuni kwa ajili ya madhabahu

  • Matunda ya kwanza ya mavuno na mwana-kondoo dume aliye mzaliwa wa kwanza

    Kumtolea Yehova mazao ya kwanza ya mavuno na wazaliwa wa kwanza wa mifugo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki