Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 4
  • Juni 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 4

Juni 13-19

ZABURI 38-44

  • Wimbo 4 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Huwategemeza Wagonjwa”: (Dak. 10)

    • Zb 41:1, 2—Wenye furaha ni wale wanaotenda kwa kuwafikiria watu wa hali ya chini (w15 12/15 24 ¶7; w91 10/1 14 ¶6)

    • Zb 41:3—Yehova anawajali waadilifu ambao ni wagonjwa (w08 9/15 5 ¶12-13)

    • Zb 41:12—Tumaini letu la wakati ujao linaweza kuwasaidia wagonjwa kuvumilia (w15 12/15 27 ¶18-19; w08 12/15 6 ¶15)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 39:1, 2—Tunapaswa kudhibiti usemi wetu jinsi gani? (w09 5/15 4 ¶5; w06 5/15 20 ¶12)

    • Zb 41:9—Yesu alionyeshaje kwamba maneno ya Daudi yalimhusu? (w11 8/15 13 ¶5; w08 9/15 5 ¶11)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 42:6–43:5

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.3 jalada

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.3 jalada

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 2 ¶4-5—Malizia kwa kuigiza kana kwamba unataka kuanza kumwonyesha video inayopatikana kwenye jw.org/sw yenye kichwa Je, Mungu Ana Jina?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 128

  • Kaza Macho Kwenye Zawadi!: (Dak.15) Mazungumzo. Onyesha video inayopatikana kwenye jw.org/sw yenye kichwa Uwe Rafiki ya Yehova—Kaza Macho Kwenye Zawadi! (Wimbo 24).(Tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > WATOTO.) Kisha mzungumzie zoezi “Linganisha: Uhai Sasa na Wakati Ujao,” kwa kutumia maswali yafuatayo: Kutakuwa na mabadiliko gani paradisoni? Unatazamia kupata baraka gani? Kutafakari kuhusu tumaini lako kutakusaidiaje kuvumilia?—2Ko 4:18.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 17 ¶14-22, mambo ya kufikiria kwenye uku. 152

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 36 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki