Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 5
  • Juni 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 5

Juni 20-26

ZABURI 45-51

  • Wimbo 67 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Hataudharau Moyo Uliovunjika”: (Dak. 10)

    • Zb 51:1-4—Daudi alijuta sana kwamba alikuwa amemtendea Yehova dhambi (w93 3/15 10-11 ¶9-13)

    • Zb 51:7-9—Daudi alihitaji kusamehewa na Yehova ili apate tena shangwe (w93 3/15 12-13 ¶18-20)

    • Zb 51:10-17—Daudi alijua Yehova angemsamehe mtenda-dhambi anayetubu kikweli (w15 6/15 14 ¶6; w93 3/15 14-17 ¶4-16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 45:4—Ni kweli gani muhimu zaidi ambayo lazima itetewe? (w14 2/15 5 ¶11)

    • Zb 48:12, 13—Mistari hii inaonyesha tuna jukumu gani? (w15 7/15 9 ¶13)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 49:10–50:6

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.3 10-11

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.3 10-11

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 3 ¶1—Malizia kwa kuigiza kana kwamba unataka kuanza kumwonyesha video inayopatikana kwenye jw.org/sw yenye kichwa Ni Nani Aliyeitunga Biblia?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 98

  • “Ufalme—Miaka 100 ya Utawala”: (Dak.15) Maswali na majibu. Anza kwa kuonyesha video inayopatikana kwenye jw.org/sw yenye kichwa Ufalme—Miaka 100 ya Utawala hadi kwenye kichwa “Waelimishwa Katika Siku Moja.” (Tafuta kwenye MACHAPISHO > VIDEO.)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 18 ¶1-13

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 109 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki