Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 5
  • Yehova Hataudharau Moyo Uliovunjika

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Hataudharau Moyo Uliovunjika
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Rehema ya Yehova Hutuokoa Kutoka Katika Hali ya Kukata Tamaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Msamaha wa Yehova Unamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • “Moyo Uliovunjika na Kupondwa” Unapotafuta Msamaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Yehova Hadharau Moyo Uliovunjika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 45-51

Yehova Hataudharau Moyo Uliovunjika

Dhamiri ya Daudi ilimchoma baada ya kusikia mfano kuhusu tajiri aliyechukua mwana-kondoo wa maskini

Zaburi ya 51 iliandikwa na Daudi baada ya nabii Nathani kumweleza kuhusu dhambi nzito ya uzinzi aliyofanya na Bath-sheba. Dhamiri ya Daudi ilimsumbua, na akaungama kwa unyenyekevu.—2Sa 12:1-14.

Daudi alitenda dhambi lakini bado angeweza kurudia hali yake nzuri ya kiroho

51:3, 4, 8-12, 17

  • Kabla ya Daudi kutubu na kuungama dhambi zake, dhamiri yake ilimtaabisha

  • Alipata maumivu makali sana kwa sababu ya kukosa kibali cha Mungu hivi kwamba alikuwa kama mtu aliyepondwa mifupa

  • Alitamani kusamehewa, kurudia hali nzuri ya kiroho, na kurudishiwa shangwe aliyokuwa nayo

  • Alimwomba Yehova kwa unyenyekevu amsaidie kukuza tamaa ya kutii

  • Alikuwa na uhakika kwamba Mungu angemsamehe

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki