Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 6
  • Juni 27-Julai 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 27-Julai 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 6

Juni 27–Julai 3

ZABURI 52-59

  • Wimbo 38 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtupie Yehova Mzigo Wako”: (Dak. 10)

    • Zb 55:2, 4, 5, 16-18—Daudi alikabili mahangaiko makubwa maishani mwake (w06 6/1 11 ¶3; w96 4/1 27 ¶2)

    • Zb 55:12-14—Mwana wa Daudi na rafiki yake aliyemtumaini walipanga njama dhidi yake (w96 4/1 29¶6)

    • Zb 55:22—Daudi alikuwa na uhakika kwamba Yehova atamsaidia (w06 6/1 11 ¶4; w99 3/15 22-23)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 56:8—Maneno ‘yaweke machozi yangu katika kiriba chako’ yanamaanisha nini? (w09 6/1 28 ¶5; w08 10/1 26 ¶3)

    • Zb 59:1, 2—Hali ambayo Daudi alikabili inatufundisha nini kuhusu sala? (w08 3/15 14 ¶13)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 52:1–53:6

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Toa trakti moja. Mwonyeshe alama iliyo kwenye ukurasa wa nyuma inayomwelekeza kwenye Tovuti yetu.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Kumrudia mtu aliyechukua trakti.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 3 ¶2-3—Malizia kwa kuigiza kana kwamba unataka kuanza kumwonyesha video inayopatikana kwenye jw.org/sw yenye kichwa Tunawezaje Kuwa na Hakika Kwamba Yale Yaliyoandikwa Katika Biblia Ni ya Kweli?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 56

  • Mahitaji ya kwenu: (Dak. 7)

  • “Mungu Ni Msaidizi Wangu”: (Dak. 8) Mazungumzo. Ruhusu watu wengi kadiri iwezekanavyo watoe maelezo ya maswali yaliyoorodheshwa ili wote wanufaike kutokana na maelezo ya ndugu na dada zao. (Ro 1:12) Watie moyo wahubiri watumie Mwongozo wa Utafiti ili kupata msaada wa Neno la Mungu wanapokabili hali ngumu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 18 ¶14-21, mambo ya kufikiria kwenye uku. 161

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 121 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki