Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 6
  • “Mungu Ni Msaidizi Wangu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mungu Ni Msaidizi Wangu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • “Mtupie Yehova Mzigo Wako”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Kitabu Cha Biblia Namba 19—Zaburi
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Yehova Huwasaidia Wale Wanaomtegemea
    Huduma Yetu ya Ufalme—2004
  • Kitabu cha Zaburi-Dawa ya Moyo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 6

MAISHA YA MKRISTO

“Mungu Ni Msaidizi Wangu”

Kwenye Zaburi ya 52-59 Daudi anaeleza hisia zake kuhusu matatizo mbalimbali aliyokabili maishani mwake. Alimtumaini Yehova hata katika nyakati hizo ngumu. (Zb 54:4; 55:22) Pia, alimsifu Yehova kwa sababu ya neno Lake. (Zb 56:10) Je, tunasitawisha imani ya aina hiyo na kumtumaini Mungu kama Daudi? Je, tunatafuta mwongozo katika Neno la Mungu tunapokabili magumu? (Met 2:6) Ni mistari gani ya Biblia iliyokusaidia . . .

  • ulipokuwa umeshuka moyo?

  • ulipokuwa mgonjwa?

  • wengine walipokukosea?

  • ulipokabili mateso?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki