Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Septemba uku. 2
  • Septemba 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Septemba uku. 2

Septemba 5-11

ZABURI 119

  • Wimbo 48 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “‘Tembea Katika Sheria ya Yehova’”: (Dak. 10)

    • Zb 119:1-8​—Ili tuwe na furaha ya kweli, tunahitaji kutembea katika sheria ya Mungu (w05 4/15 10 ¶3-4)

    • Zb 119:33-40—Neno la Mungu hutupa ujasiri tunaohitaji ili kukabiliana na majaribu maishani (w05 4/15 13 ¶12)

    • Zb 119:41-48—Ujuzi sahihi wa Neno la Mungu hutupa uhakika wa kuhubiri (w05 4/15 13 ¶13-14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 119:71—Kuteseka kuna faida gani? (w06 9/1 14 ¶4)

    • Zb 119:96—Maneno “nimeona mwisho wa ukamilifu wote” yanamaanisha nini? (w06 9/1 14 ¶5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 119:73-93

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video za mapendekezo kwa ajili ya utumishi, halafu mzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri waandike utangulizi wao. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 69

  • “Mtoto Anapofungua Mlango”: (Dak. 5) Hotuba.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10) Au mnaweza kuzungumzia mambo mliyojifunza katika Kitabu cha Mwaka. (yb16 59-62)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 23 ¶15-29 na mambo ya kufikiria

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 13 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki