Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Septemba uku. 1
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • MNARA WA MLINZI
  • MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)
  • FUNDISHA KWELI
  • ANDIKA UTANGULIZI WAKO
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Septemba uku. 1
Dada akimhubiria mama na binti yake katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India

Kumhubiria mama na binti yake katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India

Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

MNARA WA MLINZI

Mnara wa Mlinzi Na. 5 2016 | Unaweza Kupata Wapi Faraja?

Swali: Mara kwa mara, kila mmoja wetu anahitaji faraja. Unafikiri tunaweza kuipataje?

Andiko: 2Ko 1:3, 4

Pendekezo: Gazeti hili la Mnara wa Mlinzi linaonyesha jinsi Mungu anavyotufariji.

MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)

Swali: Wengine wanafikiri Ufalme wa Mungu ni hali iliyo moyoni mwa mtu; wengine wanafikiri ni matokeo ya jitihada za wanadamu za kuleta amani duniani. Wewe unaonaje?

Andiko: Da 2:44

Pendekezo: Biblia inaonyesha kwamba Ufalme wa Mungu ni serikali halisi. Makala hii inaeleza mambo mengi zaidi ambayo Biblia inafundisha kuhusu Ufalme wa Mungu.

FUNDISHA KWELI

Biblia iliyofunguliwa

Swali: Tunaweza kujuaje ikiwa Mungu anatujali?

Andiko: 1Pe 5:7

Kweli: Mungu anatualika tusali kwake kwa sababu anatujali.

ANDIKA UTANGULIZI WAKO

Tumia mapendekezo yaliyoonyeshwa kutayarisha utangulizi wako.

Ufupisho wa Machapisho

w = Mnara wa Mlinzi; wp = Mnara wa Mlinzi Toleo la Watu Wote; fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; it = Insight on the Scriptures; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala!; be = Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki