Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 1
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • MNARA WA MLINZI
  • MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)
  • BIBLIA INAFUNDISHA
  • ANDIKA UTANGULIZI WAKO
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 1
Wenzi wa ndoa wakijifunza kwa kutumia kompyuta ndogo (tablet)

Wenzi wa ndoa wakisoma pamoja kwa kutumia kompyuta ndogo (tablet)

Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

MNARA WA MLINZI

Mnara wa Mlinzi Na. 3 2016 | Mtu Unayempenda Anapokufa

Swali: Je, unafikiri kwamba maneno yanayotajwa katika mstari huu yatatimizwa?

Andiko: Ufu 21:3, 4

Pendekezo: Gazeti hili la Mnara wa Mlinzi linazungumzia jinsi Mungu atakavyotimiza ahadi hiyo na jinsi utakavyonufaika.

MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)

Swali: Tafadhali ona swali hili. [Mwonyeshe swali la kwanza na majibu machache katika makala inayopatikana kwenye ukurasa wa 16.] Wewe una maoni gani?

Andiko: Zb 83:18

Pendekezo: Makala hii inaeleza yale ambayo Biblia inasema kuhusu jina la Mungu.

BIBLIA INAFUNDISHA

Biblia Inafundisha Nini Hasa?

Swali: Watu wanafikiri Mungu ndiye anayeuongoza ulimwengu. Lakini unajua kwamba Biblia haifundishi hivyo?

Andiko: 1Yo 5:19

Pendekezo: Kitabu hiki kinaeleza kile ambacho Biblia inafundisha hasa kuhusu habari hii na nyingine nyingi.

ANDIKA UTANGULIZI WAKO

Ukitumia mpangilio ulioonyeshwa katika mifano iliyotangulia tayarisha utangulizi wako kwa ajili ya utumishi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki